mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Kuvulishwa nguo kwny ma bus huku abiria wakiimbishwa mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyeweeee.Alafu baada ya kupata vyote unavyosema tutaanza tena kuvamiwa kwenye mabasi ya abiria saa 10 jioni tunavuliwa nguo mbele za watoto, na wakwe zetu tukiimbishwa mtaji wa maskini nguvu zake mwenyewe?
Tuanze kuangaika na kukusanya silaha haramu na magonjwa ya milipuko huko kanda ya ziwa?
Ngoja tu niheshimu maoni yako japo yameniweka njia panda kifikra.