Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,660
- 4,384
sasa hapo tunasema dili juu ya dili upanga walipika pandikizi la mtuMtoto alelewe msasani akipikwa na wazee wa upanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa hapo tunasema dili juu ya dili upanga walipika pandikizi la mtuMtoto alelewe msasani akipikwa na wazee wa upanga
Nadhani ungewaonea huruma na Burundi pia FNL,RED-TABARA na FOREBU wakipewa support kidogo tu,Nkurunziza yuko chalii ndani ya muda kidogo tu.namuonea huruma saana slim maana bongo hamumtaki
south wanamlia taiming
kongo hawana la kumfanya
uganda hasomeki
kenya ni pesa mbele
Nkurunzinza yupo salama kabisa anguko lake ni mpaka baba yake aamue kumuachaNadhani ungewaonea huruma na Burundi pia FNL,RED-TABARA na FOREBU wakipewa support kidogo tu,Nkurunziza yuko chalii ndani ya muda kidogo tu.
Hahah wale wasanii na mamiwani yao ni chenga tu.dah kdg kayumba ndio nilijua anaweza kumtoa slim lkn na yeye zoba tu
bora akaungane na wale waasi wenye miwani mikubwa
natama sana hili game JK angekuwepo alafu master plan membe
Kama unamuona yuko salama wkt hana jeshi thabiti basi Rwanda itakua salama mara elfu aisee.Nkurunzinza yupo salama kabisa anguko lake ni mpaka baba yake aamue kumuacha
anayetibua mipango ni jiwe na SGR zake
sasa hizo handaki zilikuwa za nini kutwangana na jw au kuwapotezea mda jw wa kuikamata kigaliHahah wale wasanii na mamiwani yao ni chenga tu.
Muda mzuri wa kuchapana na PK ilikua kipindi kile cha M23,JW wangesogea mpk Rwanda though najua ingeleta Proxy war moja matata maana hata na yeye PK hakua fala,tayari mahandaki yalikua yameanza kuchimbwa tayari kwa shughuli.
ila bora burundi ni mtiifu unakumbuka alivyochomoa COW na time hz hataki EPA mpaka baba yake akubaliKama unamuona yuko salama wkt hana jeshi thabiti basi Rwanda itakua salama mara elfu aisee.
Jiwe hazingui yuko sawa kabisaa,Tz imewabeba Burundi miaka yote then inapata nini?Influence au kubaki tunasema tu Burundi ni mtoto wetu?
Kwanini yeye Burundi hataki kusimama kwa miguu yake awe fit kiuchumi na hata kijeshi ili akiongea na yeye awe ana sauti ya kiaina kwa wenzake?
Sasa utiifu si lazima uwepo kutokana na umaskini wake mkuu?ila bora burundi ni mtiifu unakumbuka alivyochomoa COW na time hz hataki EPA mpaka baba yake akubali
pia anasaidia kilimo pande za kigoma kwa kiasi fran
pia hanaga shida na wavuvi wa tz wakiingia kwenye maji yake
Zilikua za kuchezea "rede" nadhani.sasa hizo handaki zilikuwa za nini kutwangana na jw au kuwapotezea mda jw wa kuikamata kigali
Kosa lilifanywa na UNO baada ya vita ya kwanza. Rwanda na Burundi zilikuwa Germany East Africa. Walipo wapa Burundi na Rwanda uangalizi wa wa Bergig ndo shida ilipoanza.
Ndiyo maana ninatamani Rwanda iivamie kijeshi Burundi ili huo uzoefu wa kivita walionao tuuone. Hakika Rwanda walipovaa magwanda wakajiita M23 tuliiona shughuli yao. Kweli Rwanda ni hatari kijeshi, kiuchumi na kiintelijensia kuliko nchi yoyote Afrika ya mashariki!Hahah Burundi huyu huyu aliyepinduliwa kizembe akiwa Tz mpk JW ikamrudisha ndiye unaona anaweza vita?hivi Burundi chini ya Nkurunziza ilishawahi kupigana vita wapi na ikashinda?
Itakuwa hivyo maana sidhan kama zingemsaidia kitu maana wafaransa walikuwa wanamtafuta piaZilikua za kuchezea "rede" nadhani.
Hahah aisee hata Burundi ni hatari sana sana ndie mbabe wa E/Africa, tangu nkuru alipopinduliwa akiwa Tz naona amekua kama kuku aliyenyeshewa hataki kutoka ndani ya banda lake(Burundi) wasije wakamnyonyoa,hahah.Ndiyo maana ninatamani Rwanda iivamie kijeshi Burundi ili huo uzoefu wa kivita walionao tuuone. Hakika Rwanda walipovaa magwanda wakajiita M23 tuliiona shughuli yao. Kweli Rwanda ni hatari kijeshi, kiuchumi na kiintelijensia kuliko nchi yoyote Afrika ya mashariki!
kila mtu ana baba yake tz ana wazazi wengi kama china na mataifa mengine ya kijamaa sasa na burundi wamuache adekeSasa utiifu si lazima uwepo kutokana na umaskini wake mkuu?
Mkuu unamaanisha vibarua wa kirundi wanaolima mashamba huko Kigoma kwa ujira mdogo ndio jambo la kujivunia?
Ajitahidi asimame kwa miguu yake,kuendelea kubebwa bebwa anakua mzigo kwa wenzake ndio maana hata mzee baba sometimes anachoka aiseee.
Majority walienda Uganda,wengine wakaenda Rwanda.,wengine wakabaki Congo.alafu slim alikuwa mjanja akaona awapeleke wahuni wake uganda maana....
Hahah aisee hata Burundi ni hatari sana sana ndie mbabe wa E/Africa, tangu nkuru alipopinduliwa akiwa Tz naona amekua kama kuku aliyenyeshewa hataki kutoka ndani ya banda lake(Burundi) wasije wakamnyonyoa,hahah.
Burundi ni noma sana nasikia wanasafisha silaha kila dakika tayari kabisa kwa vita vitakavyokua WW3,hahah aisee.
Kinachogombaniwa pale ni Influence,USA+UK hazitaki France awe na influence kwny hizo nchi za maziwa makuu na wako tayari kulisimamia hilo.,hata kujitoa kwa Rwanda huko kwny Francophone to Commonwealth unadhani hakuna influence ya hao wakubwa?Itakuwa hivyo maana sidhan kama zingemsaidia kitu maana wafaransa walikuwa wanamtafuta pia
Hahah aisee ni kama Burundi alivyo mtemi kwa nchi zote za E/Africa,by the way nasikia Burundi ndiye mwenye Budget military expenditure kubwa huku kusini mwa Bara la Africa.Yaya gwee!
Angola, Namibia & Zimbabwe walikiona cha mtema kuni kutoka kwa Rwanda & Uganda walipopigana DRC mwaka 2000. Tehe teheee!
kwaiyo kikwazo cha ufaransa kupata ushawishi ukanda huu ni rwanda?Kinachogombaniwa pale ni Influence,USA+UK hazitaki France awe na influence kwny hizo nchi za maziwa makuu na wako tayari kulisimamia hilo.,hata kujitoa kwa Rwanda huko kwny Francophone to Commonwealth unadhani hakuna influence ya hao wakubwa?
Kikwazo ni USA+UK wakiitumia Rwanda kwa kadri wawezavyo.kwaiyo kikwazo cha ufaransa kupata ushawishi ukanda huu ni rwanda?