Tetesi: Hali ya hatari kati ya Burundi vs Rwanda

Tetesi: Hali ya hatari kati ya Burundi vs Rwanda

majambazi ni watoto wadogo sana kuweza kumvamia kila mtu niamini mimi faida za hao vichaa kutwangana ni kubwa sana kwetu kuliko hasara harafu mazingira hayawezi kuharibika sana kama yanavyoharibiwa na viwanda huko China kwahiyo wewe kaa standby ukisikia kagame kalianzisha wahi rusumo na kabanga fasta kwaajili ya zoezi la kuchota pesa za burebure
Hahahahaas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Burundi haiwezi kua tishio kwa Rwanda hata siku moja. Na wakitaka nchi yao iwe na utulivu waachane na Rwanda. PK kumkabili inahitaji akili kubwa ambayo Nkurunziza hana.
Siyo unavyoona wewe kuna kitu nyuma ya pazia ambacho PK hueanda akaangushwa na Burundi nkurunziza siyo Kama unavyomzania Yule ni mlokole aliyejipanga ndiyo maana unaona hahudhurii vikao vya jumuia ya EAC Unajua Kwanini!
Ndiyo Ufikiri upya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni propaganda za Rwanda ili apate kisingizio cha kupigana na Burundi, Kagame anataka aweke utawala wake. Hafu Wanyarwanda na Warundi ni jamii moja vita vya nn?
Tambua tu kuwa hata watoto wa mama mmoja hupigana
 
Ndiyo maana ninatamani Rwanda iivamie kijeshi Burundi ili huo uzoefu wa kivita walionao tuuone. Hakika Rwanda walipovaa magwanda wakajiita M23 tuliiona shughuli yao. Kweli Rwanda ni hatari kijeshi, kiuchumi na kiintelijensia kuliko nchi yoyote Afrika ya mashariki!
Mkuu acha kuota.hakuna hata kimoja walicho tupita labda unge nmbia ni nchi inayo kuja kwa Kasi katika nyanja hizo.kitu kama intejensia kina hitaji msingi imara ambao Rwanda hana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
a wise man from this forum once said, " Kagame is overrated"
 
Burundi haiwezi kua tishio kwa Rwanda hata siku moja. Na wakitaka nchi yao iwe na utulivu waachane na Rwanda. PK kumkabili inahitaji akili kubwa ambayo Nkurunziza hana.
Toa ushahidi kidogo ueleweke.mapenz na ushabiki uviache pembeni.tuambie umetumia kigezo gn kutoa hayo maoni yako?? Km ni ushabiki na mapenz useme.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu angalia mfano wa vita ya Elitiria na Ethiopia ( upo kwenye top 10 ya majeshi imara afrika )
Ubora wa Ethiopia hata haukuonekana kabisa Burns vs Rwnd kila 1 ana marafiki na mbaya mimi naonaona kagame ana maadui wengi kwasababu ya uchokozi wake MF:Uganda , DRC n.k
Huo ndio ukweli wa kweli kw mwenye ufahamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom