Tetesi: Hali ya hatari kati ya Burundi vs Rwanda

Tetesi: Hali ya hatari kati ya Burundi vs Rwanda

Burundi haiwezi kua tishio kwa Rwanda hata siku moja. Na wakitaka nchi yao iwe na utulivu waachane na Rwanda. PK kumkabili inahitaji akili kubwa ambayo Nkurunziza hana.

Kagame mpaka leo anamuogopa Luteni Jenerali Mwakibolwa akisikia hilo jina daah Kagame anaogopa mno
 
Hebu acheni kututisha bana mimi nipo Benaco huku nakumbuka Kimondo kile kilikosea njia na wakwetu wako makini mno hongera JWTZ Mungu awalinde masaa na dakika zote
 
Jeshi letu Mungu alilinde baada ya kuchuja pua ndefu daah liko makini mno hongera Luteni Jenerali Yakub M
 
Huenda tulikosea kuwakaribisha hawa wenzetu kwenye EAC...ni watu waliozoea kuuwana. Yaani wasipoona damu ya halaiki ikitiririka mioyo yao haitulii. Kuna umuhimu wa nchi hizi kuchukuliwa na kuwa mikoa ya Tanzania. Jwtz kapanueni mipaka ya nchi yetu
nakuunga mkono
 
Kagame anakubalika kua mjanja mjanja ,ninashangaa anaamsha hasira za wahutu 80%,ndani ya Rwanda ambao anawatawala kwa msumali wa moto ,lkn yetu macho
Du, si wanasema kagame kawaua wahutu wengi sana sasa hivi ni 50% kwa 50%
 
Du, si wanasema kagame kawaua wahutu wengi sana sasa hivi ni 50% kwa 50%
Mhh ...unasema kweli?? Kawezaje kuwauwa na kufanikiwa ku balance the equation?? Maana hapo awali ilikuwa 85% kwa 15%
 
Huenda tulikosea kuwakaribisha hawa wenzetu kwenye EAC...ni watu waliozoea kuuwana. Yaani wasipoona damu ya halaiki ikitiririka mioyo yao haitulii. Kuna umuhimu wa nchi hizi kuchukuliwa na kuwa mikoa ya Tanzania. Jwtz kapanueni mipaka ya nchi yetu
Kwakweli "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii vita ikitokea kweli Tanzania tunaweza kunufaika sana kuliko tunavyofikiria kwanza zana nyingi za kivita zitapitia bandarini kwetu na mamia ya wakimbizi watakuja kwenye kambi zetu kwa hiyo ajira njenje na kwa maaskari walioko mipakani pesa ni za kujiokotea kabisa kutoka kwa hao wakimbizi kwahiyo kama mimi ningekuwa ndio nawashauri ningewashauri waanze kutwangana hata Jana asubuhi
Haahaahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom