Tetesi: Hali ya hatari kati ya Burundi vs Rwanda

Tetesi: Hali ya hatari kati ya Burundi vs Rwanda

Hahahaha

Sasa Faza wa ujamaa ndio huyo kawa mkabaila,ukimkopa na ukashindwa kulipa anachukua kilicho muhimu kwake

Urusi ,Africa siju tumemuudhi nini na wapi
tatizo ni sera za ujamaa alafu faza wa ujamaa katususa africa

kama urusi wangekuwa na maslahi naafrica najua wangeitumia tz kwenye shughuli zao za kijasusi

na ingewezekana kabisa nusu ya viongozi wa africa kuwa wana asili ya bongo
 
Hahahaha

Sasa Faza wa ujamaa ndio huyo kawa mkabaila,ukimkopa na ukashindwa kulipa anachukua kilicho muhimu kwake

Urusi ,Africa siju tumemuudhi nini na wapi
Tulimuudhi tulipoanzisha NAM badala ya kukomaa na ujamaa that why hatuamini tena ila kiasi fran anamuamini tz
 
Hi list sijui umeitoa wapi maana mimi siku naandika hapa nilisikia bbc siku hiyohiyo kwamba burundi inawanajeshi zaidi ya 1000 wakulinda amani somalia na imeombwa ipunguze japo imekataa hiyo list yako kama hayupo burundi haiko sawa
Hii ndio top 25:

Here are the Top 25 countries providing UN Peacekeepers:

1. Ethiopia (8,326)
2. India (7,471)
3. Pakistan (7,161)
4. Bangladesh (6,772)
5. Rwanda (6,146)
6. Nepal (5,131)
7. Senegal (3,617)
8. Burkina Faso (3,036)
9. Ghana (2,972)
10. Egypt (2,889)
11. Indonesia (2,867)
12. China (2,639)
13. Tanzania (2,341)
14. Nigeria (2,170)
15. Niger (1,871)
16. Togo (1,661)
17. Morocco (1,607)
18. Chad (1,489)
19. Uruguay (1,457)
20. South Africa (1,427)
21. Brazil (1,303)
22. Kenya (1,229)
23. Benin (1,174)
24. Cameroon (1,137)
25. Italy (1,114)

Rwanda iko top 5,Burundi iko no. Ngapi hapo?hahah, number hazidanganyi bro.
 
Hi list sijui umeitoa wapi maana mimi siku naandika hapa nilisikia bbc siku hiyohiyo kwamba burundi inawanajeshi zaidi ya 1000 wakulinda amani somalia na imeombwa ipunguze japo imekataa hiyo list yako kama hayupo burundi haiko sawa
Kwani nimekataa kwamba Burundi imeambiwa ipunguze wanajeshi 1000?

Sehemu ya hio habari khs departure ya Burundi inasema "But as the Burundi troops are poorly equipped, it was then decided for operational reasons that the first phase of departures should be just the Burundi contingent, the source said."

Hapo kwenye "the Burundi troops are poorly equipped,",umeelewa nini boss?

Habari kamili iko kwenye theeastafrican.co.ke

Burundi wala haiko katika top list ya nchi zinazotoa wanajeshi wengi huko UN hata kwny top 25 haipo.Au ulete list yako hapa kuonyesha Burundi ikiwa kwny top list huko UN.
 
Mara nyingi Rwanda ndio wachokoz
Burundi haiwezi kua tishio kwa Rwanda hata siku moja. Na wakitaka nchi yao iwe na utulivu waachane na Rwanda. PK kumkabili inahitaji akili kubwa ambayo Nkurunziza hana.
 
hii vita ikitokea kweli Tanzania tunaweza kunufaika sana kuliko tunavyofikiria kwanza zana nyingi za kivita zitapitia bandarini kwetu na mamia ya wakimbizi watakuja kwenye kambi zetu kwa hiyo ajira njenje na kwa maaskari walioko mipakani pesa ni za kujiokotea kabisa kutoka kwa hao wakimbizi kwahiyo kama mimi ningekuwa ndio nawashauri ningewashauri waanze kutwangana hata Jana asubuhi

Ovyoooo
 
Back
Top Bottom