Hali ya hewa leo Dar

Hali ya hewa leo Dar

Attachments

  • IMG_20230702_170903_011.jpg
    IMG_20230702_170903_011.jpg
    814 KB · Views: 4
Jamani asubuh kulikua jua. Ila huwezi amin ilipofika sa 8 wingu zito mara mvua hii hapa.

Hata TMA hawajatupa tahadhari kuna kiubaridi haswaa. Jamani vaeni masweta na miguun tupia tusoksi mana tiles zinatia ubarid.
Koroga kahawa au chai ya tangawizi kaa nayo pembeni kama una mzgo wa series huu ndo muda ss.

Usiwe kama Equation x angeshatafuta pisi ya kuzagamua au mzabzab anawaza kuita watoto wa watu.
Saa zingine kuspend time alone kuna karaha kake. Mi nipo na series ya Citadel hapa karibuni😘
Nimezunguka dar es salaam nzima Leo tangia asbuh sehemu nyingi sana zilikua na mawingu.. .,

Mkuu bila japo ka picha mkuu 😊😊 Uzi huu ni batili 😊😊🤓😂
 
Back
Top Bottom