- Thread starter
- #61
4 ways kama pamepoa sku hzNagonga bia hapa 4ways, nilikuja jua linawaka ila baridi imeanza naona bia zinashuka tu
Anyway ngoja nikapitie ule uzi wa kuacha anasa nisev labda ntaondoka🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
4 ways kama pamepoa sku hzNagonga bia hapa 4ways, nilikuja jua linawaka ila baridi imeanza naona bia zinashuka tu
Anyway ngoja nikapitie ule uzi wa kuacha anasa nisev labda ntaondoka🤣
Wewe na nani mnawalipa?Tunawalipa mshahara hajawekwa pale wacheze zuma deluxe
Karibu sinzaNaomba location basi, napenda sana korosho mimi
Dar ni dar bwanaSawa sawa.. ndio maana mnadeka
Si nalipa kodi mzeeWewe na nani mnawalipa?
Unadhani kodi yako pekee inatosha kuwalipa hao jamaa?Si nalipa kodi mzee
nina mademu wawili hapa nipo nao wanataka group sex 😅😅😅Hapa mzeya sii unakojowa ubongo😜
Korosho zishakataM nakula korosho na minute maid ya embe
Na nn mbususu??Unadhani kodi yako pekee inatosha kuwalipa hao jamaa?
NIni kiki umeandikaNa nn mbususu??
Mi mtawa 🌝Nafsi huwa haidanganyi
We jf umekuja leo?NIni kiki umeandika
Ahsante, ntakuja siku moja kuchukua seriesKaribu sinza
Ulichoandika hakihusiani na nilichouliza, hata kwa asilimia 0.5. au wewe ndio hukwenda shule kabisaWe jf umekuja leo?
Basi usiwe serious sana vtu vdg hv. Tunacheka yanapita. Jpl leoUlichoandika hakihusiani na nilichouliza, hata kwa asilimia 0.5. au wewe ndio hukwenda shule kabisa
Nimezunguka dar es salaam nzima Leo tangia asbuh sehemu nyingi sana zilikua na mawingu.. .,Jamani asubuh kulikua jua. Ila huwezi amin ilipofika sa 8 wingu zito mara mvua hii hapa.
Hata TMA hawajatupa tahadhari kuna kiubaridi haswaa. Jamani vaeni masweta na miguun tupia tusoksi mana tiles zinatia ubarid.
Koroga kahawa au chai ya tangawizi kaa nayo pembeni kama una mzgo wa series huu ndo muda ss.
Usiwe kama Equation x angeshatafuta pisi ya kuzagamua au mzabzab anawaza kuita watoto wa watu.
Saa zingine kuspend time alone kuna karaha kake. Mi nipo na series ya Citadel hapa karibuni😘
Kapo mbele huko kwny commentNimezunguka dar es salaam nzima Leo tangia asbuh sehemu nyingi sana zilikua na mawingu.. .,
Mkuu bila japo ka picha mkuu 😊😊 Uzi huu ni batili 😊😊🤓😂
Unisamehe i like jokes sikupanga kukukwazaUlichoandika hakihusiani na nilichouliza, hata kwa asilimia 0.5. au wewe ndio hukwenda shule kabisa
SawaaaKapo mbele huko kwny comment