BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Watu tunawaza nguo na mashuka vinakauka vipi nyie mnawaza mizagamuano.Baridi mwenzie mzagamuano.
Hiki ndio kipindi cha kina dada kutumiwa msg za kuwa wamemisiwa na kuitwa majumbani kwa wanaume.