Hali ya hewa leo Dar

Hali ya hewa leo Dar

πŸ˜…πŸ˜… watu wa Dar wanakula sana supu ya pweza mkuu.. pia dar watu wame haribikiwa sana kuliko huko maeneo mengine.. Dar watu wamelewa mvinyo wa minyanduano ... mda kamaa huu kuna maeneo ni kama sodoma na gomoraa .. mikoani kuna mengi ya kujifunza kutoka dar es salaam..

Baridi sio kichocheo cha nyege aisee.. ingekuwa hivyo kuna nchi za ulaya ingekuwa shidaa.. mfano mie kukiwa na baridi huwa sitaki hata kusogeleana na mwanamke.. 😊
Muone doctor
 
Mkiwa ndani na manzi hii baridi hautaifeel kama unavoifeel ukiwa mwenyw!

Raha ya hii hali ya hewa upate manzi mpya sio ile unaidinyaga kila siku
 
Jamani asubuh kulikua jua. Ila huwezi amin ilipofika sa 8 wingu zito mara mvua hii hapa.

Hata TMA hawajatupa tahadhari kuna kiubaridi haswaa. Jamani vaeni masweta na miguun tupia tusoksi mana tiles zinatia ubarid.
Koroga kahawa au chai ya tangawizi kaa nayo pembeni kama una mzgo wa series huu ndo muda ss.

Usiwe kama Equation x angeshatafuta pisi ya kuzagamua au mzabzab anawaza kuita watoto wa watu.
Saa zingine kuspend time alone kuna karaha kake. Mi nipo na series ya Citadel hapa karibuni😘
Nyege mshindo zitakuwa kabla ya umri wako
 
Back
Top Bottom