financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
😀😀 Sawa mtoa assistMtoa assist hauwawi, siku zote ye ni mjengaji na si mbomoaji😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀 Sawa mtoa assistMtoa assist hauwawi, siku zote ye ni mjengaji na si mbomoaji😆😆
Njoo huku tuangalie hiki kitu. Hakika hautajuta mrembo New Gal😍😍Mwanang imeisha hapa sielew inabd nirudie
Kumbe kuna watu wengine unataka kuwapa madesa😀😀😅😅😅😅😅.... hii simu ina auto writing... ime ji correct jina vibaya badala ya financial services imeandika jina la shemeji new gal 😅😅
😅😅😅 .. nina madesa kwa ajiri yako tuKumbe kuna watu wengine unataka kuwapa madesa😀😀
Kwahiyo kuanzia leo naikutanisha mikono yenu kujenga kilichobora kabisa kati yako na wimbo wa taifa😊😀😀 Sawa mtoa assist
Mshenga kakubamba unampa mtu mwingine desa😅😅😅 .. nina madesa kwa ajiri yako tu
😅😅😅 imekuwa sealed kabisa na muhuri wa motoKwahiyo kuanzia leo naikutanisha mikono yenu kujenga kilichobora kabisa kati yako na wimbo wa taifa😊
New Couple in town weraaaaa🤸🌹
Atakayetaka kuingilia hapa niambieni, nitatumia mamlaka yangu kumsambaratisha😆
We muache tu, anadhani labda hauna jicho la tatu😆😆Mshenga kakubamba unampa mtu mwingine desa
It has already been documented hiyo😊😅😅😅 imekuwa sealed kabisa na muhuri wa moto
Akikuona mke wake shauri yako, mi sihusiki😀🏃♀️Kwahiyo kuanzia leo naikutanisha mikono yenu kujenga kilichobora kabisa kati yako na wimbo wa taifa😊
New Couple in town weraaaaa🤸🌹
Atakayetaka kuingilia hapa niambieni, nitatumia mamlaka yangu kumsambaratisha😆
😅😅 mbona huyo ni mtu wa mshenga mwenyewe.. simu tu ili type vibayaa .. badala jina lako ika jump hadi jina la shemMshenga kakubamba unampa mtu mwingine desa
mke gani tena jamanii 😊 financial servicesAkikuona mke wake shauri yako, mi sihusiki😀🏃♀️
Hajaoa bhana wimbo wa taifa, kabla sijakuwa mtoa assist nilijiridhisha kwa kuongea na majirani kwanza kumsoma tabia yake mpaka ka wazazi kule Matombo ili nisije nikakuweka katika mikono ambayo utateseka. Hapo umefika yaani ni sawa na Ile kujisemea moyoni "NOW I FIND THE RIGHTONE"😊😊Akikuona mke wake shauri yako, mi sihusiki😀🏃♀️
Hapo chacha😆😆mke gani tena jamanii 😊 financial services
Ahaaa why auto isitype jina lingine ila hilo tuu😀😅😅 mbona huyo ni mtu wa mshenga mwenyewe.. simu tu ili type vibayaa .. badala jina lako ika jump hadi jina la shem
Ninaitwa Alone as my middle name....Saa zingine kuspend time alone kuna karaha kake. Mi nipo na series ya Citadel hapa karibuni😘
Hahaha😂😂Ahaaa why auto isitype jina lingine ila hilo tuu😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wa dar bwana, hili suala nalo ni la kulaumu TMA? Mnataka kila muda mpewe uangalizi kama vifaranga vya bata vyenye masundosundo
😅😅😅 sasa niamini tu.. hakuna namna ingineAhaaa why auto isitype jina lingine ila hilo tuu😀
Haa unamkana eehmke gani tena jamanii 😊 financial services