Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahahah kila mtu si ana mjengo humu jf 🤣Niko pale pals nihame kwani nmejenga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahah kila mtu si ana mjengo humu jf 🤣Niko pale pals nihame kwani nmejenga
Kasoro mm. Ukisikia nmehama jua nmejenga au nmeolewaHahahahah kila mtu si ana mjengo humu jf 🤣
Aisee jambo la heri, usalama upo lakini?Kasoro mm. Ukisikia nmehama jua nmejenga au nmeolewa
Huku niliko baridi ni kali kinoma, asante kwa wimbo mzuriGoja mtu wangu wa nguvu Kapeace najuaa sasa hivi anaota moto huku anakula kinywaji soft . shushia na haka ka wimbo basi 😊😊 eeh Kapeace
View attachment 2676470
UnamwagikaAisee jambo la heri, usalama upo lakini?
Basi tuseme inshaallahUnamwagika
From uangalie na mtoto mzuri kama new gal ili awe anakudandia Sandia wale watu wakutisha wanaokuja usiku?🤣🤣🙌Nipe to location ya ulipo nije tuangalie wote hiyo citadel,Japo sidhani kama utakua
hujaimaliza,ka series gani kafupi kama Mkojo wa mtoto,Ntakuja na nyingine nzuri nzuri
ya kuitwa FROM nakuja nazo zote mbili tuzianze wote,Hali ya hewa hii sio ya kuangalia series
Tamu (fupi) unatakiwa upate kigongo halafu kirefu refu mpka kiishe na Muda wa kusema Good Night umefika.
Upo Russia 😊😊Huku niliko baridi ni kali kinoma, asante kwa wimbo mzuri
Asante kwa kuongea kijiografia mkuu🤝Yaani manyunyu kidogo tu ndio imekuwa baridi hadi kuanzishia nyuzi?
By the way hiki ni kipindi jua la utosi lipo mzingo wa kaskazini wa dunia, wakati kusini mwa dunia ni baridi...
Hivyo ni kawaida miezi hii hata kwa Dar kuwa na jotoridi lenye ubaridi, upepo kiasi...
Pia mabadiliko ya hali ya hewa yamechangia Dar kuwa na joto la chini, mathalani mwaka jana Dar ilikuwa na kipindi kirefu cha jotoridi lenye ubaridi kwa muda mrefu...
Uko vizur mkuuJamani asubuh kulikua jua. Ila huwezi amin ilipofika sa 8 wingu zito mara mvua hii hapa.
Hata TMA hawajatupa tahadhari kuna kiubaridi haswaa. Jamani vaeni masweta na miguun tupia tusoksi mana tiles zinatia ubarid.
Koroga kahawa au chai ya tangawizi kaa nayo pembeni kama una mzgo wa series huu ndo muda ss.
Usiwe kama Equation x angeshatafuta pisi ya kuzagamua au mzabzab anawaza kuita watoto wa watu.
Saa zingine kuspend time alone kuna karaha kake. Mimi nipo na series ya Citadel hapa karibuni[emoji8]
Hii kali😅
Hilo ndio baridi la Chuga kwenu kipindi hiki🤣🤣Hii kali😅
Nikwambie kitu, Na leo siogi😅😅Jamani asubuh kulikua jua. Ila huwezi amin ilipofika sa 8 wingu zito mara mvua hii hapa.
Hata TMA hawajatupa tahadhari kuna kiubaridi haswaa. Jamani vaeni masweta na miguun tupia tusoksi mana tiles zinatia ubarid.
Koroga kahawa au chai ya tangawizi kaa nayo pembeni kama una mzgo wa series huu ndo muda ss.
Usiwe kama Equation x angeshatafuta pisi ya kuzagamua au mzabzab anawaza kuita watoto wa watu.
Saa zingine kuspend time alone kuna karaha kake. Mimi nipo na series ya Citadel hapa karibuni😘
huku mkono mwingi ndani ya nyonyo😛Hali kama hii, unajifungia ndani busy na series huku ukisindikizia na hanson's choice uloimix na azam ukwaju taratiib, unashusha episode tu.
Hapa nina blankets mbili, socks na nguo za kutosha na bado natetemekaHilo ndio baridi la Chuga kwenu kipindi hiki🤣🤣
Nalielewa sana maana nimekaa huko kikazi miaka 7.
Nasikia baridi ya mwaka huu A town si mchezo😂😂Hapa nina blankets mbili, socks na nguo za kutosha na bado natetemeka