Hali ya hewa leo Dar

Hali ya hewa leo Dar

😀😀😀 naona unamsaidia kumpa assist, itakua ukumbusho baada ya miezi 9 watoto mapacha😀 National Anthem
Haha nao watakuwa members wa JF na kuangalia wazazi wao walikuwa wanachati nini maana mtakuwa mkiwaachia simu wacheze game bila kulog out na kuona majina yenu mnayofutia hapa. Baadae wamekuwa wakubwa wanashangaa hivi hili jina si ndo nilikuwa naliona kwenye simu ya mama wakati nacheza game🤣🤣🙌
 
😅😅😅 watoto wakipita kwenye fantasy baraaa mtupu
 
Naangalia movie zang msininyanyase
Hivi movies na kuchat hivi Kuna unachokielewa kweli hapo?🤣🤣 Au ndo ile ukisikia Kofi ndio unainua macho toka kwenye simu mpaka kwenye movie kujua nani katandikwa🤣🤣🤸🏃
 
Haha nao watakuwa members wa JF na kuangalia wazazi wao walikuwa wanachati nini maana mtakuwa mkiwaachia simu wacheze game bila kulog out na kuona majina yenu mnayofutia hapa. Baadae wamekuwa wakubwa wanashangaa hivi hili jina si ndo nilikuwa naliona kwenye simu ya mama wakati nacheza game🤣🤣🙌
Na watoto watakuona pia mshenga mwenyewe, mtoa assist😀
 
Sawa baba
au unasikia baridi njoo hapa gheto . tumechoma mkaa kuna kajoto flani kataamu ndani . tunywe na chai.. huku tunasikiliza na ka mziki saafi 😊😊😊.. kesho utarudi kwako
 
Mamamamaaaa kule ndio kufuru, Ila vitoto vya sasa vina vyanzo vingi vya kujifunza. Na utoto tunavyopenda kupractice sasa😆🙌
😅😅 sasa hivi watoto wameharibika.. sasa hivi unae muona mtoto ujue ni mkubwa mwenzio kimatendo..
 
au unasikia baridi njoo hapa gheto . tumechoma mkaa kuna kajoto flani kataamu ndani . tunywe na chai.. huku tunasikiliza na ka mziki saafi 😊😊😊.. kesho utarudi kwako
View attachment 2676431
Wewee baada ukonsentreti na financial services huko, unataka kumuita new gal wapi tena. Keshanialika niende nikajiunge nae, ndio najiandaa hapa bila kusahau kaleee(wakurungwa tunaelewana hapa)🤣🤣🏃🏃
 
😅😅😅😅😅.... hii simu ina auto writing... ime ji correct jina vibaya badala ya financial services imeandika jina la shemeji new gal 😅😅
 
Yaaani haka kamvua nimeweka miguu ju utasema nna hela 😀😀

Naangalia zangu movie nawaza ningepata na kijikitimoto aah weeee
Mamamaeeehhh😅😅😅😅Kitu mdudu nimemtandika nusu mchana na plizina zangu 7 bariidii,,,nimetulia zangu tym hii na kula zangu bangi drai taratiibu huku naperuzi peruzi jamii ya wana forum!!!
 
Hivi movies na kuchat hivi Kuna unachokielewa kweli hapo?🤣🤣 Au ndo ile ukisikia Kofi ndio unainua macho toka kwenye simu mpaka kwenye movie kujua nani katandikwa🤣🤣🤸🏃
Mwanang imeisha hapa sielew inabd nirudie
 
Back
Top Bottom