Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,130
Reaction score
8,362
Baridi kali, hewa kavuu

Wadau mnaoishi Dodoma mnawezaje ishi, mnatumia sabuni na mafuta gani? maana mimi ndani ya wiki tu ngozi imekua kama ya kenge, bila citrizine mafua hayaishi.

Utadhani nina-uviko.. Maji chumvi..sabuni hazitoi povu..wadau mnaishije... Msaada tafadhali
 
Nilishasema humu, hali ya hewa ya Singida ipo mild, wafanye extension ya kujenga makao makuu Singida.......lakini wademkaji wapo bize kupiga kampeni makao makuu kurudi Dar, kwa minajili ya kukuza miji yetu mtu mwenye akili timamu huwezi kushadadia makao makuu kurudi Dar....
 
Baridi kaliiiii...hewa kavuu...
Wadau mnaoishi Dodoma mnawezaje ishi..mnatumia sabuni na mafuta gan..maana mm ndani ya wiki tu ngozi imekua kama ya kenge, bila citrizine mafua hayi utazani nina-uviko.. Msaada tafadhali
Mkuu au unatumia kimbo [emoji28][emoji38][emoji28]aisee Dom ni htr baridi linapausha bora nyanda za juu!
 
Mkuu au unatumia kimbo [emoji28][emoji38][emoji28]aisee Dom ni htr baridi linapausha bora nyanda za juu!
Hiyo hali ya kupauka ngozi kunasababishwa na low humidity, hewa haina unyevu kama ilivyo kwa Dar. Inabidi watumie cream au lotion zinazoweka unyevu kwenye ngozi (moisturizing lotion/cream), na kutokana na hali ya baridi kuoga maji ya moto kwa muda mrefu (hot shower) hupelekea ngozi kupoteza maji, kwa hiyo kama unaoga maji ya moto jitahidi usijimwagie zaidi ya dk 5.....
 
Nilishasema humu, hali ya hewa ya Singida ipo mild, wafanye extension ya kujenga makao makuu Singida.......lakini wademkaji wapo bize kupiga kampeni makao makuu kurudi Dar, kwa minajili ya kukuza miji yetu mtu mwenye akili timamu huwezi kushadadia makao makuu kurudi Dar....
Mkuu naunga mkono hoja yako, ila Dodoma tutatumia nguvu nyingi. Semi-desert to change it need more scientific procedure and technology. Forget about politicians reality it's a big matter

Hazina iko tupu, shahidi tozo za uzalendo. City plans alizoweka JPM zinahitaji pesa mingi na miradi ni shendele bado mibichi
 
Mkuu naunga mkono hoja yako,ila dom tutatumia nguvu nyingi.semi-desert to change it need more scientific procedure and technology.forget about politicians reality it's a big matter
Hazina iko tupu,shahidi tozo za uzalendo.City plans alizoweka JPM zinahitaji pesa mingi,na miradi ni shendele bado mibichi
Exactly, ingekuwa rahisi kwa nchi zilizoendelea......kwa sisi pwagu na pwaguzi itachukua karne nzima kupafanya Dodoma pawe na hali ya hewa ya kuridhisha.
 
Nilishasema humu, hali ya hewa ya Singida ipo mild, wafanye extension ya kujenga makao makuu Singida.......lakini wademkaji wapo bize kupiga kampeni makao makuu kurudi Dar, kwa minajili ya kukuza miji yetu mtu mwenye akili timamu huwezi kushadadia makao makuu kurudi Dar....
Bora waipeleke Singida kuliko hapo Dom
 
Back
Top Bottom