adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,638
Nilikutana na demu mmoja kipindi cha nyuma!tena bus terminal pale arusha nilimuona tuu nikamfeel na ule uarabu wake wa kuchovya!!
Niliongea nae nikaona kaniamini tuu!!
Labda kwa jinsi y uonekano wangu.
Nikachukua namba yake wakati namshusha olasiti huko kwa shangazi yake!!
Nilizoeana nae sana ikawa namfata pale kwa shangazi yake namtoa out kwa gia ya kumuonyesha mji..
Nikawa najilia sana yule mtoto!!
Akarudi huko dodoma...
Akanipa mwaliko nikaenda.
Ptuuuuu...
Yaani ule mji ulinikinai hatari kwa ile hali ya hewa!
Msela kila siku naaga niondoke ila mtoto analalamika niendelee kubaki baki..
Alichoniuzi ni kwamba alinishawishi sana kwamba hapo dodoma baadae serikali itahamishiwa hapo hvyo kuna viwanja ninunue!
Kweli nilinunua kiwanja bei rahisi sana!
Akawa anashughulikia yeye hicho kiwanja mambo ya kukatia hati na mengineyo!!
Mwisho nilimuachia kile kiwanja kiwe chake!
Yule demu angekubali kuja kuishi nilipo ningemuoa!!
Lakini hakutaka kuondoka dodoma kbs nikapiga chini