Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

Hiyo hali ya kupauka ngozi kunasababishwa na low humidity, hewa haina unyevu kama ilivyo kwa Dar. Inabidi watumie cream au lotion zinazoweka unyevu kwenye ngozi (moisturizing lotion/cream), na kutokana na hali ya baridi kuoga maji ya moto kwa muda mrefu (hot shower) hupelekea ngozi kupoteza maji, kwa hiyo kama unaoga maji ya moto jitahidi usijimwagie zaidi ya dk 5.....
Ningekuwa raisi, kesho ungepokea barua ya teuzi.....
 
Baridi kaliiiii...hewa kavuu...
Wadau mnaoishi Dodoma mnawezaje ishi..mnatumia sabuni na mafuta gan..maana mm ndani ya wiki tu ngozi imekua kama ya kenge, bila citrizine mafua hayaishi.. utazani nina-uviko.. Maji chumvi..sabuni hazitoi povu..wadau mnaishije...Msaada tafadhali
[emoji23][emoji23][emoji23]Subiri na tetemeko dom ndo njia yake [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Baridi kaliiiii...hewa kavuu...
Wadau mnaoishi Dodoma mnawezaje ishi..mnatumia sabuni na mafuta gan..maana mm ndani ya wiki tu ngozi imekua kama ya kenge, bila citrizine mafua hayaishi.. utazani nina-uviko.. Maji chumvi..sabuni hazitoi povu..wadau mnaishije...Msaada tafadhali
Halafu ndio wanahamasisha watu wawekeze dom....meko hakua na akili kabisa alipaswa atoe maji ya uhakika kwenye vyanzo moro mpka dom,ndio aanze kujenga huo mji
 
Back
Top Bottom