Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

Mwambie huyo.. ni demu wangu wa Dodoma anayo Tamu balaa.. sasa ananzaje kukandia tena jamani?

Sema kanaomba hela hako.. hakana kona yani utasikia Tu naomba hela ukiuliza ya nini hakana jibu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23], ndio vilivyo videm vyakule vinaomba balaaa
 
Afu mda wote wamekunja ndita sababu ya vumbi
Mademu wabovu kinyama. Sura zao kwa mbali unaweza jilipua uingie, wakikuaribia ndio unaona ngozi ya kenge. Mji gani wa kifala, sijui nani alipendekeza uwe mji mkuu. Vumbi kila kona, Mji haueleweki kabisa, serikali wamejenga majengo kama vichuguu yaani hayana mpangilio licha ya eneo kubwa la wazi. Ukifika stendi yao mpya abiria anaruhusiwa kuingia garini akiwa na mifugo yake mf MBUZI, KONDOO. Bora hata Morogoro.
 
Haya mapuuzi yanayoiongelea Dodoma vibaya yamekuwa mengi sasa JF uzalendo umenishinda wacha niwazabue..hiv mtu unakuja dodoma unakaa uswahilin ambako maji tu shida, ukichanganya na umasikin wako wa kushindwa kununua hata sabuni nzur na mafuta mazur unazan utanawil? hii iko Tz nzima na dunia nzma hata uende sehem gan nzur, kama mifuko yako inasoma 0" jihesabu wew n wakupauka tuu, mbona sis tupo hapo for almost 7yrs na tunapendeza ngozi nzurii zinang'aa,..maswahibu yako usitake kulaumu mkoa mzima, nanyie mapimbi wengine mnaosapoti huu ujinga tutakuja makwenu tupathaminishe na Dodoma pumbv zenu....
 
Pamoja na yote,kuku wa pale Chako ni chako na maeneo ya Royal village watamu jamani,bado nikifikiria na zile nyama choma kule mnadani vinanifanya nisipachukie kabisa Dodoma[emoji16][emoji16]...
Kuku buku 14, 15, 16 Mzima na wa kienyeji. Sasa ukitoka pale ukikutana na pisi zao ndio unaona bora uguse ngozi ya kuku tu. Dodoma pa kisenge sana.
 
Mademu wabovu kinyama. Sura zao kwa mbali unaweza jilipua uingie, wakikuaribia ndio unaona ngozi ya kenge. Mji gani wa kifala, sijui nani alipendekeza uwe mji mkuu. Vumbi kila kona, Mji haueleweki kabisa, serikali wamejenga majengo kama vichuguu yaani hayana mpangilio licha ya eneo kubwa la wazi. Ukifika stendi yao mpya abiria anaruhusiwa kuingia garini akiwa na mifugo yake mf MBUZI, KONDOO. Bora hata Morogoro.
Usifananishe Moro na ule mji wa kiboya
 
Haya mapuuzi yanayoiongelea Dodoma vibaya yamekuwa mengi sasa JF uzalendo umenishinda wacha niwazabue..hiv mtu unakuja dodoma unakaa uswahilin ambako maji tu shida, ukichanganya na umasikin wako wa kushindwa kununua hata sabuni nzur na mafuta mazur unazan utanawil? hii iko Tz nzima na dunia nzma hata uende sehem gan nzur, kama mifuko yako inasoma 0" jihesabu wew n wakupauka tuu, mbona sis tupo hapo for almost 7yrs na tunapendeza ngozi nzurii zinang'aa,..maswahibu yako usitake kulaumu mkoa mzima, nanyie mapimbi wengine mnaosapoti huu ujinga tutakuja makwenu tupathaminishe na Dodoma pumbv zenu....
Weka picha yako hapa. Na unaishi mtaa upi ambao una hali ya hewa nzuri pale Dom? Dodoma pamelaaniwa pale, watu wake wamepauka mwanzo mwisho, ukibahatika kuwa na pisi za CBE, MIPANGO, UDOM nk nao wamebadilika hata kama wametoka sehemu nzuri utawaona wana ngozi ngumu. Kwa kifupi hakufai kwa matumizi ya binadamu. Kule ilifaa wajenge Jela tu.
 
Haha haha Dom wagogo wenzako wanauza nyama huku Vingunguti na Pugu mnadani wamekimbia ukame na kuvuna Ubuyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Weka picha yako hapa. Na unaishi mtaa upi ambao una hali ya hewa nzuri pale Dom? Dodoma pamelaaniwa pale, watu wake wamepauka mwanzo mwisho, ukibahatika kuwa na pisi za CBE, MIPANGO, UDOM nk nao wamebadilika hata kama wametoka sehemu nzuri utawaona wana ngozi ngumu. Kwa kifupi hakufai kwa matumizi ya binadamu. Kule ilifaa wajenge Jela tu.
Kweli afu Kuna shida ya maji sana kuna mtaa wao wanauona wa kishua wanauita Nkuhungu maji ya shida
 
Nikienda Dom roho juuu, nilienda na Koti moja mbona niliongeza matatu.Pale 7/7 nilipata chimbo makoti matatu roho ikatulia ila hali ya hewa siipendi.
 
Baridi kaliiiii...hewa kavuu...
Wadau mnaoishi Dodoma mnawezaje ishi..mnatumia sabuni na mafuta gan..maana mm ndani ya wiki tu ngozi imekua kama ya kenge, bila citrizine mafua hayaishi.. utazani nina-uviko.. Maji chumvi..sabuni hazitoi povu..wadau mnaishije...Msaada tafadhali
Pole ndugu, karibu makao makuu yanchi
1. Usiogee sabuni za vipande meaning zile kama lux na aina zake, tumia sabuni za maji .
2. Nenda famasi esp. ya Nakiete barabara ya kwenda sabasaba nunua Bio oil for dry skin.
Jitahidi kusafisha pua zako kila siku maana vumbi hutalikosa.
 
Back
Top Bottom