Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

Baridi kaliiiii...hewa kavuu...
Wadau mnaoishi Dodoma mnawezaje ishi.. mnatumia sabuni na mafuta gani.. maana mimi ndani ya wiki tu ngozi imekua kama ya kenge, bila citrizine mafua hayaishi..

Utadhani nina-uviko.. Maji chumvi..sabuni hazitoi povu..wadau mnaishije... Msaada tafadhali
Tena baridi la dom linakufanya mtu uwe mweusi haswaaaa. Nguo pia zinapaukaaaaa na maji ya chumvi hasa nguo nyeusi
 
Baridi kaliiiii...hewa kavuu...
Wadau mnaoishi Dodoma mnawezaje ishi.. mnatumia sabuni na mafuta gani.. maana mimi ndani ya wiki tu ngozi imekua kama ya kenge, bila citrizine mafua hayaishi..

Utadhani nina-uviko.. Maji chumvi..sabuni hazitoi povu..wadau mnaishije... Msaada tafadhali
Tumia shower gel ndo kiboko ya hali ya hewa ya Dodoma. Mafuta tumia ya mgando au mgando changanya na mafuta ya nazi. Utaenjoyi
 
Hiyo hali ya kupauka ngozi kunasababishwa na low humidity, hewa haina unyevu kama ilivyo kwa Dar. Inabidi watumie cream au lotion zinazoweka unyevu kwenye ngozi (moisturizing lotion/cream), na kutokana na hali ya baridi kuoga maji ya moto kwa muda mrefu (hot shower) hupelekea ngozi kupoteza maji, kwa hiyo kama unaoga maji ya moto jitahidi usijimwagie zaidi ya dk 5.....
Aisee mi ni mhanga wa maji moto yaani iwe jua,iwe mvua ni maji moto Tu Dar pekee ndo inaweza tokea kuoga maji baridi ila mikoani nishashindwa kabisa ndo mana sometime naona ngozi yangu inakuwa kavu kumbe maji moto huchangia na siwezi paka cream yangu bila mosturizer natumia sana mafuta ya nazi ila kuna kipindi ngozi inakataa kabisa[emoji22][emoji22]
 
Nilishasema humu, hali ya hewa ya Singida ipo mild, wafanye extension ya kujenga makao makuu Singida.......lakini wademkaji wapo bize kupiga kampeni makao makuu kurudi Dar, kwa minajili ya kukuza miji yetu mtu mwenye akili timamu huwezi kushadadia makao makuu kurudi Dar....
Sasa ww unaapendekeza serikali ijikite tena ujenzi wa makao makuu Singida ?
 
Exactly, ingekuwa rahisi kwa nchi zilizoendelea......kwa sisi pwagu na pwaguzi itachukua karne nzima kupafanya Dodoma pawe na hali ya hewa ya kuridhisha.
Kufanya sehemu kame kama Dodoma iwe sehemu nzuri inahitaji mambo mawili. 1. Maji 2. Commitment ya kupanda miti (bustani, mpangilio mzuri wa mji eg open spaces)
 
Mademu wabovu kinyama. Sura zao kwa mbali unaweza jilipua uingie, wakikuaribia ndio unaona ngozi ya kenge. Mji gani wa kifala, sijui nani alipendekeza uwe mji mkuu. Vumbi kila kona, Mji haueleweki kabisa, serikali wamejenga majengo kama vichuguu yaani hayana mpangilio licha ya eneo kubwa la wazi. Ukifika stendi yao mpya abiria anaruhusiwa kuingia garini akiwa na mifugo yake mf MBUZI, KONDOO. Bora hata Morogoro.
we nae hata kama ni uongo sasa umezidisha, stand gani hiyo ya kwenda na mbuzi kwenye gari.....sasa kwa kifua kipana naweza kusema kuna mtu amekuacha kwenye mataa huko ukachukia mkoa mzima..
 
Haya mapuuzi yanayoiongelea Dodoma vibaya yamekuwa mengi sasa JF uzalendo umenishinda wacha niwazabue..hiv mtu unakuja dodoma unakaa uswahilin ambako maji tu shida, ukichanganya na umasikin wako wa kushindwa kununua hata sabuni nzur na mafuta mazur unazan utanawil? hii iko Tz nzima na dunia nzma hata uende sehem gan nzur, kama mifuko yako inasoma 0" jihesabu wew n wakupauka tuu, mbona sis tupo hapo for almost 7yrs na tunapendeza ngozi nzurii zinang'aa,..maswahibu yako usitake kulaumu mkoa mzima, nanyie mapimbi wengine mnaosapoti huu ujinga tutakuja makwenu tupathaminishe na Dodoma pumbv zenu....
Na Kila anayeiponda Dom aseme anakotoka!! Nimekaa Dom miaka 5 naona pako poa tu.inategemea na life standard zako!!
 
Back
Top Bottom