Dodoma ni ardhi iliyolaaniwaBaridi kaliiiii...hewa kavuu...
Wadau mnaoishi Dodoma mnawezaje ishi..mnatumia sabuni na mafuta gan..maana mm ndani ya wiki tu ngozi imekua kama ya kenge, bila citrizine mafua hayi utazani nina-uviko.. Msaada tafadhali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]Dodoma ni ardhi iliyolaaniwa
,[emoji3][emoji3][emoji3]Ohoooo kuna demu wangu huko taratibu baharia
Mi sipakubali kabisaDodoma ni ardhi iliyolaaniwa
Mkuu au unatumia kimbo [emoji28][emoji38][emoji28]aisee Dom ni htr baridi linapausha bora nyanda za juu!Baridi kaliiiii...hewa kavuu...
Wadau mnaoishi Dodoma mnawezaje ishi..mnatumia sabuni na mafuta gan..maana mm ndani ya wiki tu ngozi imekua kama ya kenge, bila citrizine mafua hayi utazani nina-uviko.. Msaada tafadhali
Hiyo hali ya kupauka ngozi kunasababishwa na low humidity, hewa haina unyevu kama ilivyo kwa Dar. Inabidi watumie cream au lotion zinazoweka unyevu kwenye ngozi (moisturizing lotion/cream), na kutokana na hali ya baridi kuoga maji ya moto kwa muda mrefu (hot shower) hupelekea ngozi kupoteza maji, kwa hiyo kama unaoga maji ya moto jitahidi usijimwagie zaidi ya dk 5.....Mkuu au unatumia kimbo [emoji28][emoji38][emoji28]aisee Dom ni htr baridi linapausha bora nyanda za juu!
Mkuu naunga mkono hoja yako, ila Dodoma tutatumia nguvu nyingi. Semi-desert to change it need more scientific procedure and technology. Forget about politicians reality it's a big matterNilishasema humu, hali ya hewa ya Singida ipo mild, wafanye extension ya kujenga makao makuu Singida.......lakini wademkaji wapo bize kupiga kampeni makao makuu kurudi Dar, kwa minajili ya kukuza miji yetu mtu mwenye akili timamu huwezi kushadadia makao makuu kurudi Dar....
Exactly, ingekuwa rahisi kwa nchi zilizoendelea......kwa sisi pwagu na pwaguzi itachukua karne nzima kupafanya Dodoma pawe na hali ya hewa ya kuridhisha.Mkuu naunga mkono hoja yako,ila dom tutatumia nguvu nyingi.semi-desert to change it need more scientific procedure and technology.forget about politicians reality it's a big matter
Hazina iko tupu,shahidi tozo za uzalendo.City plans alizoweka JPM zinahitaji pesa mingi,na miradi ni shendele bado mibichi
Hata kwa Dar msimu wao wa baridi umechukua kipindi kirefu na imezidi kwa ukali......nafikiri ni athari za mabadiliko ya tabia nchi.Kwa kweli sisi wazawa wa hapa baridi la msimu huu ni refu kama kimba la usiku.
Bora waipeleke Singida kuliko hapo DomNilishasema humu, hali ya hewa ya Singida ipo mild, wafanye extension ya kujenga makao makuu Singida.......lakini wademkaji wapo bize kupiga kampeni makao makuu kurudi Dar, kwa minajili ya kukuza miji yetu mtu mwenye akili timamu huwezi kushadadia makao makuu kurudi Dar....
Afu muda wote wamekunja ndita sababu ya vumbiMi binafsi nimeshindwa kuishi... Hakuna mafuta unatumia ukawa na ngozi nzuri, mademu wao wamekomaa ngozi kichizi.
Sio leo yani bado sanaExactly, ingekuwa rahisi kwa nchi zilizoendelea......kwa sisi pwagu na pwaguzi itachukua karne nzima kupafanya dodoma pawe na hali ya hewa ya kuridhisha.
Kama we mgogo mpaka leo umeshindwa kupazoea kwenu sie wageni ndio hatupaelewi kabisaKwa kweli sisi wazawa wa hapa baridi la msimu huu ni refu kama kimba la usiku.