Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Acha Nongwa WeweKama unataka ngozi laini kama Dem nenda Dar Mikoani kote Hali ni hiyo hiyo
Mikoani Kote Umeishi Wapi Na Wapi 😂😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha Nongwa WeweKama unataka ngozi laini kama Dem nenda Dar Mikoani kote Hali ni hiyo hiyo
Wanaume wa Dar hao utaweza Wana mavitambi matako manyama nyama mashavu na ngozi laini kama mademWakuu mbona paukweli tu mitaa yangu Ni ihumwa,kisasa napiga kazi kwenye mrad wa reli.kweli ukame upo ila sio wa kutisha kiasi kwamba hakunaga mboga za majani..zipo kibao
Vumbi ,mechanism ya macho kujilinda na kukisafisha ,afu huo upepo ni wa msimu ambako kila mkoa Hali hiyo ipoSamahani mkuu, hivi nini hasa husababisha tongotongo? chukulia macho ya Muhusika hayana shida yoyote.
Wewe wa Dar utajua nini? Nakwambia mikoani kote kuna msimu wa baridi unafuata upepo , kwani Dom kuna upepo mda wote? Huo upepo utakoma mwezi wa 9 ,,kuna Mkoa gani saizi hakuna upepo?Acha Nongwa Wewe
Mikoani Kote Umeishi Wapi Na Wapi 😂😀
Wewe uko na mimi siwezi kuishi sehemu ya joto kama dar hakuna raha huko watu wanajianika nje ucku makelele ya feni huwezi tembea kwa miguu kwenye magari ya umma joto tupu .Bora Dodoma kuliko joto la Dar. Dar kuna lilie joto la kukaba unapata shida kuhema.
Wewe ni mpumbavu kabisa kwa hiyo kujenga Mji ni sawa na kujenga Banda lako hilo?Halafu ndio wanahamasisha watu wawekeze dom....meko hakua na akili kabisa alipaswa atoe maji ya uhakika kwenye vyanzo moro mpka dom,ndio aanze kujenga huo mji
Usifananishe Dom na Dar slum CityMademu wabovu kinyama. Sura zao kwa mbali unaweza jilipua uingie, wakikuaribia ndio unaona ngozi ya kenge. Mji gani wa kifala, sijui nani alipendekeza uwe mji mkuu. Vumbi kila kona, Mji haueleweki kabisa, serikali wamejenga majengo kama vichuguu yaani hayana mpangilio licha ya eneo kubwa la wazi. Ukifika stendi yao mpya abiria anaruhusiwa kuingia garini akiwa na mifugo yake mf MBUZI, KONDOO. Bora hata Morogoro.
JK Alisema Kigoma Itakuwa Kama DubaiWewe ni mpumbavu kabisa kwa hiyo kujenga Mji ni sawa na kujenga Banda lako hilo?
Mji inajengwa kwa hatua kwa hatua na sio overnight,kama ni maji kubwa kubwa Sana litajengwa hapo na pia kwenye mpango wa mda mrefu ni kutoa maji Victoria na Mtera ila kwa sasa wanaanza na bwawa.Hivyo hivyo na sekta zingine Kama afforestation.
Hakuna Mji utakuwa mzuri kuizidi Dom nchi hii by 2030 kwa kila kitu
Yaani mtu na akili zako unauliza baridi Dodoma,Dom kuna baridi? Kama unaogopa baridi unaweza kuishi mikoa ya Nyanda za Juu wewe? Maana si TU baridi kali bali kipindi cha upepo ni upepo mkali kutoka Ziwa Nyasa .Hivi baridi Dom Ni kuanzia mwezi wangapi mpk wangapi?
Kigoma sio Mji mkuu wa serikali,hata sasa Dom ina mtandaoni mkubwa wa lami na zenye mpangilio kuliko Mji wowote Tzn hii ikiwemo Dar is Slum city .JK Alisema Kigoma Itakuwa Kama Dubai
Mwanri Alisema Tabora Itakuwa Kama Toronto
Nafurahi Sana Nawe Umetuhakikishia Dodoma Itakuwa Nzuri By 2030
Kuliko Mkoa Wowote Hapa Tanzania 😂😁😀🤣😃😄
Yaani mtu na akili zake analeta ujuaji kwny swali ambalo hajaulizwa?Kweli mtoto halali na hela analala na mavi.Yaani mtu na akili zako unauliza baridi Dodoma,Dom kuna baridi? Kama unaogopa baridi unaweza kuishi mikoa ya Nyanda za Juu wewe? Maana si TU baridi kali bali kipindi cha upepo ni upepo mkali kutoka Ziwa Nyasa .
Tofauti na Dom ni kwamba huku kuna miti mingi
Wakifanya afforestation huo upepo utapunguzwaYaani Dom inataka moyo aisee kuna Baridi baya japo halizidi nyanda za juu ila upepo wake sio kabisa
Na vyote vinafanyika,Dom sio kame kama Longido au Simanjiro au KitetoKufanya sehemu kame kama Dodoma iwe sehemu nzuri inahitaji mambo mawili. 1. Maji 2. Commitment ya kupanda miti (bustani, mpangilio mzuri wa mji eg open spaces)
Kama huna pesa lazima uzeeke mikoani sio sawa na kule mnakula utumboUnazeeka fasta ukikaa huku muda mrefu
Nimeishi Dar maisha yangu yote (takriban miaka 32), nimekuja dom nina miaka takribani mi3 tu kwa sasa, changamoto ya ngozi kuwa mbaya ilinitesa sana, hasa kwa yake mazoea ya Dar kutopenda kupaka mafuta mara kwa mara , ama kutumia lotion ya kuondoa unyevu usoni (sbb ya joto), niliishi Arusha kipindi fulani pia ilinitesa sana vilevile ka domBaridi kaliiiii...hewa kavuu...
Wadau mnaoishi Dodoma mnawezaje ishi.. mnatumia sabuni na mafuta gani.. maana mimi ndani ya wiki tu ngozi imekua kama ya kenge, bila citrizine mafua hayaishi..
Utadhani nina-uviko.. Maji chumvi..sabuni hazitoi povu..wadau mnaishije... Msaada tafadhali
Kondoa Kuna Sehemu Inaitwa Mauno Ukifika Unapata Shombe 😂😀😃Pamoja na njaa, ukame lakini ni kati ya mikoa yenye mademu wazuri kuliko Mbeya, Iringa,Njombe.
Vyakula vingi havisaidii wanawake kuwa wazuri !