Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Ila niwatamu usijaribu.Mademu wa mbeya, iringa na njombe wana sura ngumu hatari
Hapa nimenasa kwa mdada huwezi muamgalia mara2.
Ila chumbani, mwe! Mwe!
Usijaribu wadada unaowaita wabaya wa sura usijaribu utamuacha mkeo.
Nimekuonya.