Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

Wa sita mpaka saba mwanzoni tu mpaka tarehe 10 hivi inakuwaga imeisha ila hii ya mwaka huu naona inapitiliza tu inamaliza August sasa
Mwaka huu imeanza kunusa nusa tangu April na itakwenda hadi mwanzoni mwa September pale jua likianza kurudi kwenye mstari wa Ikweta.
 
Wew ni chizi, yaani Dodoma hiyo hiyo nayoifahamu unasema unanawiri! Mama nanii tu na weupe wake akikaa huko for one week anakuwa mweusi ti, sembuse wewe pangu pakavu
chizi mwenyew nyie ndio wale wenye mindset za kidar mkishazoea ulaini wa huko dar kwenu bas sehem zngne mnaona kama takataka, oyaa si kila sehem itakupenda, na ndio maana wazungu wakija afrika wanapauka kwa jua wakirud makwao wanamuwa fresh, lkn kuna wabongo sehem za badr kama uko ulaya wanapauka, wakirud bongo wananawil.....
 
Singida inatofauti gani na dom kwenye hali ya hewa? maji chumvi, upepo, baridi, vumbi pamoja na hewa kavu vyote hivi Singida vipo.
 
Morogoro ni mkoa mzuri sana, fursa ni nyingi za pesa japo mzunguko ni mdogo sana wa pesa, na wakazi wa hapo wamezubazuba na wavivu sna.

Moro maji ni machafu, kama ni mtu unajali ngozi yako kuwa mweusi haipukiki.
Sure maji ya Moro machafu sana

Pale utafubaa ngozi Hadi ukome
 
Singida inatofauti gani na dom kwenye hali ya hewa? maji chumvi, upepo, baridi, vumbi pamoja na hewa kavu vyote hivi Singida vipo.
Kuna wadau waliniambia Dodoma ni mjini zaidi na pana mzunguko mkubwa wa fedha kuliko Singida. Kwenye upande wa hali ya hewa ni sehemu zinazoshabihiana sana kwani zote zinapatikana kanda ya kati na ni Mikoa Jirani.
 
Singida inatofauti gani na dom kwenye hali ya hewa? maji chumvi, upepo, baridi, vumbi pamoja na hewa kavu vyote hivi Singida vipo.
Wee zwazwa, singida ina hali njema sana ukilinganisha na dodoma...
 
Pamoja na yote,kuku wa pale Chako ni chako na maeneo ya Royal village watamu jamani,bado nikifikiria na zile nyama choma kule mnadani vinanifanya nisipachukie kabisa Dodoma[emoji16][emoji16]...
Dom pazur hao wanaopadic washamba tu
 
Uko sahihi. Mimi nimeishi Dodoma huu saa ni mwaka wa 26. Kwa mgeni anayefika kwa mara ya kwanza maji na hali ya hewa itakupa shida lkn ukishazoea utapapenda. Pia Dodoma Ni sehemu inayopata mvua nyingi kipindi cha kati ya December na March hivyo unaweza kufunga gutters kwenye paa la nyumba yako ukavuna maji ya mvua ukatumia miezi 8 kwa maana ya kuanzia April hadi November. Mimi nina experience ya kuvuna maji ya mvua hivyo situmii maji chumvi. Dodoma Ni sehemu nzuri sana ya kuishi maana iko cool na mji umepangwa vizuri. Hali ya hewa inaanza kubadilika kadiri tunavyozidi kupanda miti na kutunza mazingira.
 
the bare land of ndugai
 
Wenye asili ya ngozi kavu ama ngozi sensitive ndo wanasumbuka
Nina mwaka wa 6 huu huku, sijawahi kuona ngozi yangu inapauka kwa namna ambayo mjumbe ameelezea. Nadhani ni suala la mwili kuadapt mazingira husika!
Nina mwaka wa 6 huu huku, sijawahi kuona ngozi yangu inapauka kwa namna ambayo mjumbe ameelezea. Nadhani ni suala la mwili kuadapt mazingira husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…