Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

Weka picha tuone hiyo ngozi yako ilivyonawiri
 
Kufanya sehemu kame kama Dodoma iwe sehemu nzuri inahitaji mambo mawili. 1. Maji 2. Commitment ya kupanda miti (bustani, mpangilio mzuri wa mji eg open spaces)
Mkuu ilikuwepo CDA ambayo ina wataalamu wa mipango miji, kwa sasa kazi ya mipango miji wamerudishiwa madiwani.......hivi diwani mwenye elimu ya hapa na pale anayo akili ya kupangilia majengo na mandhari ya jiji........akili ya diwani ndo inaweza ku transform Dodoma kuwa jiji la kisasa? wadanganyika hatujawahi kuwa serious aisee...
 
Mkuu umeenda shule tena chuo kikuu . your so smart.
 
haahaha kweli hali ya hewa poa lakini na changamoto zipo, tope baya sana msimu wa mvua ukikanyaga chini kiatu kinanasa mzigo mzito huwezi kunyanyua mguu..
[emoji23][emoji23] Tope jekundu la msimu na linavumilika na pia inategemea na eneo Hamieni Moro wakuu

Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
 
Hawawezi. Inahitaji wataalam tena wenye moyo hasa wa kuifanya. Madiwani wapo kuchumia matumbo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…