Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

Wanaume wa Dar kilakitu kina washinda, mwanaume rijali huwez sema hadharani upuuzi kama huo...
Wanaume sikuhiz mnalalamika kishoga shoga tu, wanawake wanawashinda, mnapenda maisha mepesi ndio maana mnashikishwa ukuta
Makasiriko
 
Kwa kweli Dodoma sipapendi hata mimi.
Hali ya hewa ya huku hapana aisee.
Mpaka huwa nawauliza wenyeji wanawezaji kuishi hapa miaka yote hiyo.
 
Mkuu kisasa ni uswahilini?
 
Baridi + upepo + vumbi.

Yaani puku...puku..puku puku..puku..puku...
Hovyooo sana.
 
Dodoma na Lusaka ni hali moja, vumbi hewa kavu na kupauka ...ILA Dodoma ikijengwa kisasa miundombinu ya uhakika.. lami kila barabara zenye pavement na bustani kali ... Walaah itakuja kuwa bonge la Jiji tena kimbilio.
 
Nakubaliana na wewe hapa Nyerere alifeli sehemu sahihi ya kujenga Mji kuu ilifaa iwe Singida .

Kwa Dodoma Ili pawe stable miti lazima ipandwe mingi Sana,maji yaletwe ya Ziwa au mito
 
Lakini mnavyowekeza utadhani kubaya Sana kumbe ni kawaida tuu,Tzn hapa hakuna sehemu yoyote yenye mazingira harsh hata kidogo
 
Dodoma kweli pagumu sana, wengine tunaishi kwamba hakuna namna ila hali ya hewa nzito sana, weekend moja ukienda Dar unaona utofauti na hata ukitoka Dom ukifika Moro unahisi mwili kubadilika,
Pagumu mno mno !!!!
Yaani Ndiyo Ukweli Wenyewe
Ukifika Morogoro Tu Hali Safi
Hata Utatamani Wahamie Japo Morogoro
Dodoma Kumetushinda TAbia πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜…
 
Acha porojo wewe serikali imetoa bil.300 mwaka huu kuendelea na ujenzi wa mji
 
Watu wote wenye hasira zao na mastess yao mnakaribishwa kwenye huu uzi. Rucksa kutoa ya rohoni kwa jina la Dodoma.😁😁
Kumekucha Sasa Hivi
Wachambaji Ruksa Mpaka Dodoma Inuke πŸ˜‚πŸ˜πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…
 
Kama unataka ngozi laini kama Dem nenda Dar Mikoani kote Hali ni hiyo hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…