Hali ya Jack gerezani Macau siyo nzuri

Yaan muda mwingine banaa post zako

Hamna hivyo Dina nina bro wangu anakunywa methodonine zao na nimeishi kwenye sehemu iuzwayo unga na juzi kati narudi home nakuta watoto wadogo wameingia kwenye biashara hiyo.Wengine watasema wamejitakia lakini hawajui kama familia zao zingekaa karibu ya biashara hiyo wangekuaje hao.Mungu tusaidie tutokomeze hili janga.
 

Poleeee sanaaa mi hayo nayasikiaga tu hayo madawaa
 
Lazma afya yake itetereke si alikua na uhusiano na Captain wa majengo pacha.?
alaf hatutakiwi kuwaonea huruma watu kama hawa..
 
Kile alichokifanya alijua faida yake na hasara yake....lazima tufike mahali tujue kwamba ikiwa faida kubwa basi na hasara nayo kubwa....ama kweli starehe gharama, isipo kugharimu jasho itakugharimu maisha.
 
Yaan had sasa ivi nikiona nguo na products za gucci na louis vuitton sijui namkumbuka jack tu, yule dada aliwakomesha aiseeh

Aliwakomeshajee???halaf mbona jux anamkana tena binam
 

Aache kulalamika uko, kwani mfano angefanikisha ilo deal angerudi Tz kulalamika??sana sana angekuja kujinadi kua ana fedha tena za halali. Mi naamini kabla hajafanya uo upuuzi alijua FAIDA na HASARA sasa now yupo side ya hasara atumikie tu sehemu iyo
 
Wamama wanajifungulia njiani watu watatu kitandani wodini watoto wanakaa chini serikali ian mambo ya msingi yakufanya na sio kufanya mambo ya kitaahira.

Hakutumwa ni kwa starehe zake alafu siku nyingine ufikirie cha kuongea we poyoyo.
 


Jamaa ni sembe au minyenyere? mbona kaisha sana.
 

Jamaa ni sembe au minyenyere? mbona kaisha sana.

Sembe hyo mkuu .deile namwona akiwa kalanduka hajielewi kabisa fulu udenda hata kutembea kwa shida,huyu inaonekana hali kabisa
 
Wamama wanajifungulia njiani watu watatu kitandani wodini watoto wanakaa chini serikali ian mambo ya msingi yakufanya na sio kufanya mambo ya kitaahira.

Hakutumwa ni kwa starehe zake alafu siku nyingine ufikirie cha kuongea we poyoyo.
Serikali ipo kwa ajili ya watu wa aina fulani kumbe? we wa wapi?

mbona kura tulipiga sawa na zikahesabiwa sawa? kila sector inatofauti za priorities,

huyo mama anaejifungulia njiani ana wizara husika ambayo inatakiwa ishughulikie mahitaji yake,

Huyu anaeuza unga nae ana wizara mahususi kwa ajili yake,

Mwizi na jambazi na wahalifu wa kila aina, wao pia wana chombo maalum kwa ajili ya kushughulika nao,

Mwisho wa siku, maamuzi makuu yanatolewa na serikali kuu juu ya wananchi wake!

Usione upande mmoja umezidiwa na shida basi ukadhani ndio una haki ya kusaidiwa kuliko mwingine!

Kwa taarifa yako tu, hao unaowaita masikini ambao wanatakiwa kusaidiwa na serikali, ndio wanaonyonywa na serikali kwa kulipishwa kodi nzito, halafu mwisho wa siku, pesa zao zinaelekezwa kusikojulikana!

No research, no right to open your mouth aiming to speak.
 
So serikali iongeze fungu kwenye wizara mabo ya nje kwaajili ya kuwatetea wauza unga na kuwalipia mawakili???

you deserve even a life BAN!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…