Serikali ipo kwa ajili ya watu wa aina fulani kumbe? we wa wapi?
mbona kura tulipiga sawa na zikahesabiwa sawa? kila sector inatofauti za priorities,
huyo mama anaejifungulia njiani ana wizara husika ambayo inatakiwa ishughulikie mahitaji yake,
Huyu anaeuza unga nae ana wizara mahususi kwa ajili yake,
Mwizi na jambazi na wahalifu wa kila aina, wao pia wana chombo maalum kwa ajili ya kushughulika nao,
Mwisho wa siku, maamuzi makuu yanatolewa na serikali kuu juu ya wananchi wake!
Usione upande mmoja umezidiwa na shida basi ukadhani ndio una haki ya kusaidiwa kuliko mwingine!
Kwa taarifa yako tu, hao unaowaita masikini ambao wanatakiwa kusaidiwa na serikali, ndio wanaonyonywa na serikali kwa kulipishwa kodi nzito, halafu mwisho wa siku, pesa zao zinaelekezwa kusikojulikana!
No research, no right to open your mouth aiming to speak.