Hali ya jua kali ulipo ikoje? TMA utabiri ukoje?

Hali ya jua kali ulipo ikoje? TMA utabiri ukoje?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Jua linawaka sana huku mikoani. Nadhani kuna sehemu kuna angalau mvua kidogo. Tupeane taarifa, One can shift from one region to another to look for agricultural opportunities Sehemu ambazo hata tone hakuna
1. Mwambao wote wa Bahari ya Hindi
 
Kanda ya kati asubuhi mpaka mchana hapakuwa na mawingu angani kuonesha mvua itanyesha. Jioni limeibuka wingu kubwa jeusi toka kaskazini mwa nchi likaanguka na kunyesha mvua kubwa ya mawe ikiambatana na upepo mkali. Wingu limeelekea magharibi mwa nchi huko mkoani Tabora na Katavi
 
DAh nyanda za juu kusini huku magharibi kuna mvua ya kutosha jua lina bipu bipu ni mvua usiku na mchana.
 
Back
Top Bottom