Kwa yanayojiri nchini Tanzania kwa sasa inahashiria ugumu wa maisha mbele yetu. Hali ya kisiasa kiuchumi na kijamii inaelekea kuwa ngumu sana hapo mbeleni.
Wiki jana USA imewapiga ban viongozi wa Tanzania, ina maana shuguli nyingi zitakwama kwani kitovu cha uchumi wa dunia ni Marekani. Leo Uingereza imepiga ban watanzania wote. Hatujui jumuiya ya ulaya inapanga nini dhidi ya Tanzania.
Kwa wajuzi wa mambo, hii Hali siyo ya kawaida na inaonyesha ugumu wa mambo hapo mbeleni. Chama Dume, mkombozi kusini mwa afrika.
CCM, hebu mtuambie mbele yetu kuna nini? Na hizi kodi, na tozo za kufa mtu, Mtuambie mbele yetu kuna nini.