Hali ya kisiasa kijamii na kiuchumi inaelekea kuwa ngumu sana

Hali ya kisiasa kijamii na kiuchumi inaelekea kuwa ngumu sana

mleta mada nairobian ni mkenya sijui kwa nini huwa unapenda kuingilia mambo ya Tanzania
 
Hujui hata kinachoongelewa ni bora ungeficha aibu yako, viongozi na wote waliosababisha ukandamizaji wa demokrasia wamepigwa ban kuingia Marekani, ban iliyoondolewa ni ya Watanzania wa kawaida wanaoshiriki bahati nasibu ya VISA ya USA.
hajiatolewa ban wewe ni kusudio lililotolewa na Pombeo na Trump wake waliofungashwa virago.Raisi mpya KAKATAA MAKUSUDIO YOTE ALIYOWEKA Trump na kibaraka wake Pompeo na kamtaja kwenye hotuba yake ya kusimikwa kuwa Pompeo ndiye aliyeharibu mahusiano ya kimataifa ya Marekani na nchi zingine katengua

Na china imepiga marufuku Pompeo na maafisa 28 wa iliyokuwa serikali ya Marekani ya Trump kukanyaga China na biashaara zao marufuku China
 
Hapa ndo nashindwa kuwaelewa wafuasi wa CCM na huenda nisiwaelewe milele maana hamueleweki. Watanzania wamepigwa ban na Marekani na tunajua wengine mlikuwa mnapeleka wake zenu kuzalia Marekani (cc: Makonda) ili kupata baadhi ya haki za Umarekani. Sasa Wamarekani kupigwa ban na China inasaidia nini Watanzania?
 
Watanzania wamepigwa ban na Marekani tunajua wengine mlikuwa mnapeleka wake zenu kuzalia Marekani (cc: Makonda) ili kupata baadhi ya haki za Umarekani.
Kwa mimi pro life Huko ni kuzuia haki ya mtoto kuishi.Kuweka ban kwa mzazi asijifungulie marekani ni kuzuia haki ya kiumbe kisicho na hatia kuishi !! ni murder case hiyo!! Marekani wanachofanya kwa hilo ni mauaji siyo kitu cha kuchekelea hata kidogo
 
Kwa mimi pro life Huko ni kuzuia haki ya mtoto kuishi.Kuweka ban kwa mzazi asijifungulie marekani ni kuzuia haki ya kiumbe kisicho na hatia kuishi !! ni murder case hayo!! Marekani wanachofanya kwa hilo ni mauaji siyo kitu cha kuchekelea hata kidogo
Umenifanya nicheke kwenye daladala hadi konda kakumbuka kunidai nauli wakati alishasahau.
 
Kwa yanayojiri nchini Tanzania kwa sasa inahashiria ugumu wa maisha mbele yetu. Hali ya kisiasa kiuchumi na kijamii inaelekea kuwa ngumu sana hapo mbeleni.

Wiki jana USA imewapiga ban viongozi wa Tanzania, ina maana shuguli nyingi zitakwama kwani kitovu cha uchumi wa dunia ni Marekani. Leo Uingereza imepiga ban watanzania wote. Hatujui jumuiya ya ulaya inapanga nini dhidi ya Tanzania.

Kwa wajuzi wa mambo, hii Hali siyo ya kawaida na inaonyesha ugumu wa mambo hapo mbeleni. Chama Dume, mkombozi kusini mwa afrika.

CCM, hebu mtuambie mbele yetu kuna nini? Na hizi kodi, na tozo za kufa mtu, Mtuambie mbele yetu kuna nini
Tatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia sana
Ukitaka kufaidi awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
LA sivyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
 
Kwel mjinga huzeeka na ujinga wake
Tatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia sana
Ukitaka kufaidi awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
LA sivyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
 
Nani kwakwambia hauna tija kwetu?
Mkuu Tatizo Watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
 
Back
Top Bottom