Hivi ni nani anawajaza huu ujinga?Mkuu Tatizo Watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
Mkuu Hali halisi unaiona chi ilivyo pendezaHivi ni nani anawajaza huu ujinga?
Nyamaza. Acha kulialia. Tunaimarisha miundombinu Chato na juenzi wa SGR, fly-overs, bwawa la umeme, tunabuni na kupanua vyanzo vya mapato, n.k. Waache raia wahangaike. Tunawekeza kwa ajili ya kesho. Mi5+ tena. Utajiju.Kwa yanayojiri nchini Tanzania kwa sasa inahashiria ugumu wa maisha mbele yetu. Hali ya kisiasa kiuchumi na kijamii inaelekea kuwa ngumu sana hapo mbeleni.
Wiki jana USA imewapiga ban viongozi wa Tanzania, ina maana shuguli nyingi zitakwama kwani kitovu cha uchumi wa dunia ni Marekani. Leo Uingereza imepiga ban watanzania wote. Hatujui jumuiya ya ulaya inapanga nini dhidi ya Tanzania.
Kwa wajuzi wa mambo, hii Hali siyo ya kawaida na inaonyesha ugumu wa mambo hapo mbeleni. Chama Dume, mkombozi kusini mwa afrika.
CCM, hebu mtuambie mbele yetu kuna nini? Na hizi kodi, na tozo za kufa mtu, Mtuambie mbele yetu kuna nini.
Nilidhani unaelewa unachobishania kumbe ubongo wako umejaa fungus.Acha tabia yenu ya kuwaogofya watu ili kuleta taharuki. Makubaliano kati ya mpumbavu Tundu Lissu na trump chali. Na hawa hawajui kiingilish?
Huku kwetu kwenye ofisi za ccm tuna bei yetu, ukiwa na kadi ya ccm lita buku tu.[emoji23][emoji1787]
Mkuu umejibiwa?...
Kulikuwa na sera ya Ustawi wa Binadamu " HAKI AMANI NA MAENDELEO YA WATU dhidi ya MITANO TENA, hayo ni matokeo ya M-TANO 5TENAKwa yanayojiri nchini Tanzania kwa sasa inahashiria ugumu wa maisha mbele yetu. Hali ya kisiasa kiuchumi na kijamii inaelekea kuwa ngumu sana hapo mbeleni.
Wiki jana USA imewapiga ban viongozi wa Tanzania, ina maana shuguli nyingi zitakwama kwani kitovu cha uchumi wa dunia ni Marekani. Leo Uingereza imepiga ban watanzania wote. Hatujui jumuiya ya ulaya inapanga nini dhidi ya Tanzania.
Kwa wajuzi wa mambo, hii Hali siyo ya kawaida na inaonyesha ugumu wa mambo hapo mbeleni. Chama Dume, mkombozi kusini mwa afrika.
CCM, hebu mtuambie mbele yetu kuna nini? Na hizi kodi, na tozo za kufa mtu, Mtuambie mbele yetu kuna nini.
Nani asiyejua kuwa wewe ni Juha hapa JF. PoleNilidhani unaelewa unachobishania kumbe ubongo wako umejaa fungus.
Pole kwa familia yako kwa kuwa na mtu mjinga na mbumbumbu kama wewe ndani ya familia.
Wale manyani waliovuruga uchaguzi wamepigwa viza ban ya kuingia USA na hata hii green gard lottery hawaruhusiwi kushiriki wao na familia zao..
Mpuuzi mkubwa wewe.
Huku kwetu kwenye ofisi za ccm tuna bei yetu, ukiwa na kadi ya ccm lita buku tu.
Mkuu napenda kukujulisha kwamba nchi hii kwa mara ya kwanza katika historia ipo kwenye Uchumi wa katiHii dunia ya watu wastaarabu. Ukitaka kuwarudisha nyuma kwenye ushenzi, wengine watapinga, hata kama raia wako watanyamaza kwa kuzidiwa nguvu au kutojua.
Haya ni matokeo ya kawaida kwa siasa za kihuni, ushenzi, kiburi na kutesa raia, eti kwa kuwaletea maendeleo. Mbona Botswana, Senegal, Mauritius zinaendelea haraka sana bila ya kutukana watu, kuuwa watu wala makeke?
Nimejifunza mtu hawezi kufeki kusoma. Mtu kama hakusoma vizuri, hata akiwa na tittle ya Udokta, Uprofesa....ataonekana tu katika matendo yake. Ukitazama hizo nchi nilizozitaja zote zinashirikiana katika kitu kimoja muhimu: viongozi wake wamesoma kikweli, na si bora elimu. Na hakuna kati yao anayeitwa dokta au profesa!
Hebu tazama matamshi haya kama kweli hayawezi kuleta madhara kwa nchi, yanasemwa na mtu mwenye weledi na kuliepushia madhara taifa lake:
1- Tanzania hakuna Covid-19 (lakini dunia nzima ipo).
2- Jizalieni tu Tanzania tajiri!
3- Sisomeshi wasichana wenye watoto!
Kwa mtu ajuaye dunia na mahusiano ya Kimataifa, statement kama hizo (na nyingine nyingi) ni lazima zilete madhara kwa nchi. Haya ndiyo matokeo yake. Jamii ya Kimataifa huenda ikawa slow ku react, lakini kwa uhakika itajibu, maana baadhi ya mambo haya yanachukuliwa kuwa yanaweza kuja kuhatarisha usalama wa dunia yakiachiwa. Tayari Tanzania imeishaanza kuzalisha wakimbizi!
Mbaya sana kiongozi kufanya kama nchi yote ni milki yake pekee. Wakati matatizo yanapotokea sisi wote tunaathirika!
Huyu mzee ashauriwe bila woga kabla mambo hayajaharibika. Tanzania ni nchi ndogo sana katika dunia, wala haina athari yeyote, si ya kiuchumi wala kisiasa (hivi sasa)> Wakitaka kuamua mara moja waiwekee ngumu...........hatutoki. Hakuna nchi yeyote dunia ya leo inayoweza kujikimu yenyewe pekee. Hii haina maana kulamba miguu. Kuna ukosefu wa kufahamu kwamba unaweza kuwa na msimamo bila ya kuwakasirisha wengine. Ndiyo maana kukawa na kitu kinaitwa diplomasia.
Haujamjibu. Acha bangi jibu hoja yake.Hujui kitu kaa kimya!!
Kijana sijui una elimu ya kiasi gani. Maana elimu ni muhimu kwa kufahamu msamiati kama Uchumi wa Kati. Uchumi wa kati unauelewa vipi wewe? Hii ni hesabu tu wala haikusaidii wewe kama mtu. Uchumi wa kati maana yake ni mapato ya nchi kwa mwaka ukiyagawia kwa Watanzania wote. Hiyo haimaanishi kuwa pesa hizo zimegawiwa, au kama wewe umepata mgawo! Kwa mantiki hiyo, uchumi wa kati ulioufikia mwaka huu, si lazima uwe uchumi wa kati mwaka ujao. Huu unaathirirwa na mapato utakayoyaingiza, idadi ya watu walioongezeka, exchange rate ya dola, na mambo mengine. Pengine Tanzania siyo uchumi wa kati tena tangu ilipotangazwa mwaka jana, maana mapato ya nchi yamepungua sana (tazama takwimu), na pia watu wameongezeka.M
Mkuu napenda kukujulisha kwamba nchi hii kwa mara ya kwanza katika historia ipo kwenye Uchumi wa kati
Shule bure
Huduma za afya bure
Nchi hii ni tajiri sana hatuhitaji pesa za mabeberu
Hata kule Ulaya shule wanalipia
Mkuu mimi sipendelei upande wowote nasema ukweli Magufuli ni Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake Ndio maana sote tunafaidi sana kuanzia Wafanyabiashara. Wafanyakazi hata Wakulima maisha ni bam bam tofauti na zamani
Tii sheria za nchi bila masharti
Lipa kodi
Utafaidi sana
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
Stupid as stupid comes! Why should being inquisitive and wanting to know be condemned? Small brains are the only ones that glorify nativism. Kenyans and Chinese are welcome to comment, criticise or give insights about Tanzania.Hivi kuna forum ya Wakenya iliyojaa Watanzania wanaoshadadia mambo ya Kenya?
Or Tanzanians just don't give a dead rat about Kenya?
I am genuinely interested to see if this thin masquerade over stalking is reciprocated by Tanzanians.
Or if it is only Kenyans who are salivating and bitching about Tanzanians.
Acha tabia yenu ya kuwaogofya watu ili kuleta taharuki. Makubaliano kati ya mpumbavu Tundu Lissu na trump chali. Na hawa hawajui kiingilish?