Ndugu zangu msiwe kama kondoo Hali ya uchumi na afya ni mbaya mno , tunza pesa , jifunze kulima bustani Kwa ajili ya subsistence food , Hali inayokuja ni apocalyptic , there will be unprecedented poverty , miseries , chaos , deaths , starvation , business buncrupties , unemployment .
Hali ya kiuchumi dunia nzima ni mbaya Sana kutokana na hii Corona pandemic , msijidanganye na chanjo , kuna strains mpaya za Corona virus zinazidi kuibuka kila kukicha, itachukua muda Saba kuja kupata real solution and be back to normal , biashara nyingi zinaendelea kufa na zitakufa kutokana na mzunguko WA biashara kuwa mdogo Sana , tunza fedha kidogo uliyonayo ishi within your means , wengi wenu hamuoni hatari iliyo mbele yenu , mark this comment , ukidharau utakiona cha mtema kuni , utalia na kusaga Meno .
The dooms day and global economic depression is on the horizon .
The new normal won't be normal anymore , this is the new normal .