Hali ya kumzoea mume/ mke wako na kumuona kama ndugu yako ina suluhisho?

ndege JOHN mkuu wangu, ushauri wangu hata umtoe vipi lazima kuna kipindi utamchoka tu na kuna kipindi mwili unakua haujisikii kabisa kufanya ngono au tendo la ndoa. Na Kuna muda unatamani mpaka ulale peke yako.

Jambo la msingi fahamu kua macho yakikizoea kitu huona cha kawaida, kwahio chukulia normal tu. Jitahidi kutimiza wajibu wako tu hasa familia ipate elimu bora, kula, kuvaa na wakiugua watibiwe vizuri.

Mambo mengine muachie Mungu tu, lkn usisahau kula vzr na kufanya mazoezi.
 

Nimefikiria watu wangu wa karibu kama kumi sijaona mwenye ratiba kama hii.

Na wote wana maisha ya kawaida kama yangu, wapo wanaoenda Hiyo Vacay na wapo ambao hawaendi so ni priority tu na uamuzi.

Mtoa mada mazuri chukua mabaya yaache, huku mtandaoni kuna watu wanashauri hiki ili huko makwao wanafanya tofauti.

Mpende mkeo muone mpya kila siku kumbuka alivyokua anakuvutia…kumbuka moments zenu.

Nipo kwenye ndoa mwaka wa 15 sasa sijawahi mchoka Mume wangu na kwa ninavyomuona hajawahi nichoka.

Lol muwe na mjadala mwema
 
Labda yanaboa kwasababu baadhi ya wanawake hawana cha kuoffer zaidi ya mbunye tu, mbaya zaidi akishaolewa anajiweka hovyohovyo, akishazaa ndo kabisaaa anatisha.

Mbaya zaidi ukute nae mume hata hajui anataka nini na hawezi mwambia mkewe aweje, na mume sio mbunifu wa tuvitu vitu.

Nyumba inageuka jeshi, mume anatoa amri mke anatekeleza, kwisha.
 
Mkuu Simara kubishana kwa hoja na RUSTEM PASHA pasipo kumkumbusha tofauti ya vocation na vacation ni kumkosea heshima.

Mtake radhi 😊
 
Samahani unaangalia Tamthilia gani nami niangalie?

Ni ngumu sana kwa maisha ya tz na utamaduni wetu wa kiafrika kwenda out
sana sana ni kuiga tu na huu ndo ukweli.

pia mtazamo wako unadhani kila mtu anaishi maisha yako yaani ya mjini wakati mama yangu ukimwambia mambo ya out hata hajui una manisha nini na wapo wote na mzee hadi leo!!

Pia kwa wanawake ukimzoesha hivyo basi chukulia hii imekuwa ni lazima siku ukigoma tegemea mgogoro na kuambiwa "saivi ushanichoka hta huna muda na mimi" zamani ulikuwa unanipeleka hoteli,beach nk lkn kwa sasa huna muda huo!!

Binafisi huwa na naenda na mchepuko once panapohitajika
 
Mkuu nimechoka kubishana πŸ˜€kwa sasa huo muda sina amini unachokiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…