Hali ya kumzoea mume/ mke wako na kumuona kama ndugu yako ina suluhisho?

Hali ya kumzoea mume/ mke wako na kumuona kama ndugu yako ina suluhisho?

Refer your comments Mkuu umepinga, mimi siwezi kupinga maamuzi yako na ushauri wako kwa mtoa mada.

Ungetoa ushauri wako unaoona unafaa kwa mtoa mada na sio kuja kunipinga!

Nadhani kaongelea Mke ajaongelea girlfriend katika hizo asilimia 2 inawezekana akawepo sababu hujui mfuko wake.

Pia kwenda Vacation sio utajiri ni mipango tu.
ndege JOHN mkuu wangu, ushauri wangu hata umtoe vipi lazima kuna kipindi utamchoka tu na kuna kipindi mwili unakua haujisikii kabisa kufanya ngono au tendo la ndoa. Na Kuna muda unatamani mpaka ulale peke yako.

Jambo la msingi fahamu kua macho yakikizoea kitu huona cha kawaida, kwahio chukulia normal tu. Jitahidi kutimiza wajibu wako tu hasa familia ipate elimu bora, kula, kuvaa na wakiugua watibiwe vizuri.

Mambo mengine muachie Mungu tu, lkn usisahau kula vzr na kufanya mazoezi.
 
Vacations nyingi za Watanzania;-
1-Mwezi Disemba hurudi kijijini kulima jembe la mkono kwa bidii.
2-Likizo ya "Pasaka" wanaenda kuangalia maendeleo ya mazao waliyoyaacha shambani na shamba boy kama mlinzi.
3-Likizo mwezi wa sita ie May-July,kuvuna na kuhifadhi mazao.
4-Likizo fupi Agosti-Septemba kwenda kuandaa upya mashamba.
Hiyo ndiyo ratiba ya vacation za familia nyingi za Tanzania.Mbali na hapo ni aidha wana uchumi mkubwa au mfanyabiashara.

Nimefikiria watu wangu wa karibu kama kumi sijaona mwenye ratiba kama hii.

Na wote wana maisha ya kawaida kama yangu, wapo wanaoenda Hiyo Vacay na wapo ambao hawaendi so ni priority tu na uamuzi.

Mtoa mada mazuri chukua mabaya yaache, huku mtandaoni kuna watu wanashauri hiki ili huko makwao wanafanya tofauti.

Mpende mkeo muone mpya kila siku kumbuka alivyokua anakuvutia…kumbuka moments zenu.

Nipo kwenye ndoa mwaka wa 15 sasa sijawahi mchoka Mume wangu na kwa ninavyomuona hajawahi nichoka.

Lol muwe na mjadala mwema
 
Jitahidi kwenda Vacation, muda mwingine mkalale hotel …muwe watu wa kupeana zawadi yaani msiboe kwenye mapenzi.

Unaweza kujiekea kila mwezi lazima umspoil mwenza wako na yeye akuspoil.

Mke ajitahidi awe anavaa mavazi ya kuvutia na ya uchokozi mkiwa pamoja.

Pia kama mwanzo alikua na umbo flan hata kama kazaa ajitahidi kurudi mwili wake wa zamani.

Kuna maisha baada ya kuzaa
Labda yanaboa kwasababu baadhi ya wanawake hawana cha kuoffer zaidi ya mbunye tu, mbaya zaidi akishaolewa anajiweka hovyohovyo, akishazaa ndo kabisaaa anatisha.

Mbaya zaidi ukute nae mume hata hajui anataka nini na hawezi mwambia mkewe aweje, na mume sio mbunifu wa tuvitu vitu.

Nyumba inageuka jeshi, mume anatoa amri mke anatekeleza, kwisha.
 
Hakuna mahala nimepokataza usiende Vocation, Wala mtu yeyoye asiende vocation lkn inafahamika vocation za watz walio wengi wanaenda vijijin kwao.

Sasa mtu kwenda vocation eti kwa lengo la kum spoil boyfriend/girlfriend alale hotel za laki mbili, elfu 90 au laki Moja na nusu hilo kwa watz tuliowengi asilimia zaid ya 98 hawawezi. nyinyi asilimia 2 mliobaki ndio mnaweza maisha hayo.

Hongera mkuu.
Mkuu Simara kubishana kwa hoja na RUSTEM PASHA pasipo kumkumbusha tofauti ya vocation na vacation ni kumkosea heshima.

Mtake radhi 😊
 
Unaweza kujiekea kila mwezi lazima umspoil mwenza wako na yeye akuspoil.

Mke ajitahidi awe anavaa mavazi ya kuvutia na ya uchokozi mkiwa pamoja.

Pia kama mwanzo alikua na umbo flan hata kama kazaa ajitahidi kurudi mwili wake wa zamani.

Kuna maisha baada ya kuzaa
Samahani unaangalia Tamthilia gani nami niangalie?

Ni ngumu sana kwa maisha ya tz na utamaduni wetu wa kiafrika kwenda out
sana sana ni kuiga tu na huu ndo ukweli.

pia mtazamo wako unadhani kila mtu anaishi maisha yako yaani ya mjini wakati mama yangu ukimwambia mambo ya out hata hajui una manisha nini na wapo wote na mzee hadi leo!!

Pia kwa wanawake ukimzoesha hivyo basi chukulia hii imekuwa ni lazima siku ukigoma tegemea mgogoro na kuambiwa "saivi ushanichoka hta huna muda na mimi" zamani ulikuwa unanipeleka hoteli,beach nk lkn kwa sasa huna muda huo!!

Binafisi huwa na naenda na mchepuko once panapohitajika
 
Mkuu nimechoka kubishana 😀kwa sasa huo muda sina amini unachokiamini
 
Back
Top Bottom