Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
Akuu mm mda wote 32 yapo njeAahahahah...kwahiyo unajikataa? 😂
Sjawai kuwa hivo 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akuu mm mda wote 32 yapo njeAahahahah...kwahiyo unajikataa? 😂
ndege JOHN mkuu wangu, ushauri wangu hata umtoe vipi lazima kuna kipindi utamchoka tu na kuna kipindi mwili unakua haujisikii kabisa kufanya ngono au tendo la ndoa. Na Kuna muda unatamani mpaka ulale peke yako.Refer your comments Mkuu umepinga, mimi siwezi kupinga maamuzi yako na ushauri wako kwa mtoa mada.
Ungetoa ushauri wako unaoona unafaa kwa mtoa mada na sio kuja kunipinga!
Nadhani kaongelea Mke ajaongelea girlfriend katika hizo asilimia 2 inawezekana akawepo sababu hujui mfuko wake.
Pia kwenda Vacation sio utajiri ni mipango tu.
Ngoja niiweke vizuri mkuu;Pia kama mwanzo alikua na umbo flan hata kama kazaa ajitahidi kurudi mwili wake wa zamani.
Vacations nyingi za Watanzania;-
1-Mwezi Disemba hurudi kijijini kulima jembe la mkono kwa bidii.
2-Likizo ya "Pasaka" wanaenda kuangalia maendeleo ya mazao waliyoyaacha shambani na shamba boy kama mlinzi.
3-Likizo mwezi wa sita ie May-July,kuvuna na kuhifadhi mazao.
4-Likizo fupi Agosti-Septemba kwenda kuandaa upya mashamba.
Hiyo ndiyo ratiba ya vacation za familia nyingi za Tanzania.Mbali na hapo ni aidha wana uchumi mkubwa au mfanyabiashara.
Nimefikiria watu wangu wa karibu kama kumi sijaona mwenye ratiba kama hii.Vacations nyingi za Watanzania;-
1-Mwezi Disemba hurudi kijijini kulima jembe la mkono kwa bidii.
2-Likizo ya "Pasaka" wanaenda kuangalia maendeleo ya mazao waliyoyaacha shambani na shamba boy kama mlinzi.
3-Likizo mwezi wa sita ie May-July,kuvuna na kuhifadhi mazao.
4-Likizo fupi Agosti-Septemba kwenda kuandaa upya mashamba.
Hiyo ndiyo ratiba ya vacation za familia nyingi za Tanzania.Mbali na hapo ni aidha wana uchumi mkubwa au mfanyabiashara.
Me mwenyewe nilishangaa mbona kama nishawahi kumuona kwenye juisi ya miwa.....ila itakuwa siyo wewe kweliHahahaha nitake radhi 🤣🤣
Hahahaha..Me mwenyewe nilishangaa mbona kama nishawahi kumuona kwenye juisi ya miwa.....ila itakuwa siyo wewe kweli
We usiende na dumu....juisi yenyewe haitengenezwi nyingi wenzako tutakosa🤣🤣🤣Hahahaha..
Wiki hii sjanywa juice ya miwa kabisa🥺...ngoja niende now na dumu langu🤣🤣
Labda yanaboa kwasababu baadhi ya wanawake hawana cha kuoffer zaidi ya mbunye tu, mbaya zaidi akishaolewa anajiweka hovyohovyo, akishazaa ndo kabisaaa anatisha.Jitahidi kwenda Vacation, muda mwingine mkalale hotel …muwe watu wa kupeana zawadi yaani msiboe kwenye mapenzi.
Unaweza kujiekea kila mwezi lazima umspoil mwenza wako na yeye akuspoil.
Mke ajitahidi awe anavaa mavazi ya kuvutia na ya uchokozi mkiwa pamoja.
Pia kama mwanzo alikua na umbo flan hata kama kazaa ajitahidi kurudi mwili wake wa zamani.
Kuna maisha baada ya kuzaa
N kidumu cha 2 Lt tu🤣🤣We usiende na dumu....juisi yenyewe haitengenezwi nyingi wenzako tutakosa🤣🤣🤣
Nimeshusha pumzi maana Kuna jamaa juzi kaenda na ndoo,tukamfukuza asije akawanyima fursa wateja wenzieN kidumu cha 2 Lt tu🤣🤣
Usihofu
Khee "ndoo"!!! Analangua kwani...?Nimeshusha pumzi maana Kuna jamaa juzi kaenda na ndoo,tukamfukuza asije akawanyima fursa wateja wenzie
Nahisi kwao kulikuwa na wageni .....kwahiyo kwenye kuwatafutia juisi ndiyo akachagua ya miwaKhee "ndoo"!!! Analangua kwani...?
Dah so mlifukuzia mbali hakuchukua..?Nahisi kwao kulikuwa na wageni .....kwahiyo kwenye kuwatafutia juisi ndiyo akachagua ya miwa
Hakuchukua.....we mwenyewe nakuonea huruma na kidumu chako maana wateja wa pale hawataki mzaha kwenye Ile juisiDah so mlifukuzia mbali hakuchukua..?
Mm pale ni mwenyeji sana hata niende na pipa🤣🤣Hakuchukua.....we mwenyewe nakuonea huruma na kidumu chako maana wateja wa pale hawataki mzaha kwenye Ile juisi
Dah kwa hiyo ushaolewaMungu nilindie na umpe uzima Mume wangu inaelekea wapo wachache sana
Mkuu Simara kubishana kwa hoja na RUSTEM PASHA pasipo kumkumbusha tofauti ya vocation na vacation ni kumkosea heshima.Hakuna mahala nimepokataza usiende Vocation, Wala mtu yeyoye asiende vocation lkn inafahamika vocation za watz walio wengi wanaenda vijijin kwao.
Sasa mtu kwenda vocation eti kwa lengo la kum spoil boyfriend/girlfriend alale hotel za laki mbili, elfu 90 au laki Moja na nusu hilo kwa watz tuliowengi asilimia zaid ya 98 hawawezi. nyinyi asilimia 2 mliobaki ndio mnaweza maisha hayo.
Hongera mkuu.
Samahani unaangalia Tamthilia gani nami niangalie?Unaweza kujiekea kila mwezi lazima umspoil mwenza wako na yeye akuspoil.
Mke ajitahidi awe anavaa mavazi ya kuvutia na ya uchokozi mkiwa pamoja.
Pia kama mwanzo alikua na umbo flan hata kama kazaa ajitahidi kurudi mwili wake wa zamani.
Kuna maisha baada ya kuzaa
Uwiii daah nimecheka JF mtakuja kuniua😂😂😂😂😂😂😂Mkuu Simara kubishana kwa hoja na RUSTEM PASHA pasipo kumkumbusha tofauti ya vocation na vacation ni kumkosea heshima.
Mtake radhi 😊
Mkuu nimechoka kubishana 😀kwa sasa huo muda sina amini unachokiaminiSamahani unaangalia Tamthilia gani nami niangalie?
Ni ngumu sana kwa maisha ya tz na utamaduni wetu wa kiafrika kwenda out
sana sana ni kuiga tu na huu ndo ukweli.
pia mtazamo wako unadhani kila mtu anaishi maisha yako yaani ya mjini wakati mama yangu ukimwambia mambo ya out hata hajui una manisha nini na wapo wote na mzee hadi leo!!
Pia kwa wanawake ukimzoesha hivyo basi chukulia hii imekuwa ni lazima siku ukigoma tegemea mgogoro na kuambiwa "saivi ushanichoka hta huna muda na mimi" zamani ulikuwa unanipeleka hoteli,beach nk lkn kwa sasa huna muda huo!!
Binafisi huwa na naenda na mchepuko once panapohitajika