Hali ya kumzoea mume/ mke wako na kumuona kama ndugu yako ina suluhisho?

Mkuu wewe ndiyo huwezi kuna wengine tunaweza ni mipango tu.

Moments zinasaidia sana kwenye mahusiano na kufanya mjione wapya kila siku.

Sio lazima uende Dubai hata Arusha panafaa! Sio lazima ulale Serena hata hotel za kawaida.
Wanawake huwa mnafurahisha, yaani mnapenda sana luxury life, huku mkijua watz wengi maisha yetu niyakutafuta chakula tu.
 
Lazma mchokane tu!!
Kila siku unampiga chabo tu yaani mbaka mapaja au matiti unaona kama miguu tu!!!
maana hata ukiyaona hausisimki
 
Wanawake huwa mnafurahisha, yaani mnapenda sana luxury life, huku mkijua watz wengi maisha yetu niyakutafuta chakula tu.
Nashukuru Mungu nilienae anayaweza na mimi huwa nampeleka Vacation kwa pesa yangu pia.

Sio wanawake tu, hakuna binadamu asiependa luxury life au mwenzetu unapenda shida??
 
Napenda niishi uhalisia wa maisha yangu, hata kama na pesa ya kwenda vocation siwezi kwenda kwa sababu kuna wajomba, wadogo zangu, na ndugu jamaa wanashida nyingi wanahihitaji msaada wangu, kuliko kwenda kutapanya pesa vocation zisizo na msingi. Kisa kufurahisha kiumbe anaeitwa mwanamke. Jambo la msingi kwangu nikutekeleza mahitaji ya msingi tu.
 
Hayo ni maisha yako wewe na ni kitu kizuri pia kwako ila isikufanye useme eti wanaoishi maisha yao wanapenda luxury life.

Kwako wewe Vacation haina msingi kwa mwingine ina msingi kila mtu ana uhuru wa kuishi atakavyo Mkuu sababu kila mtu anatafuta pesa kwa malengo yake.
 
Hakuna mahala nimepokataza usiende Vocation, Wala mtu yeyoye asiende vocation lkn inafahamika vocation za watz walio wengi wanaenda vijijin kwao.

Sasa mtu kwenda vocation eti kwa lengo la kum spoil boyfriend/girlfriend alale hotel za laki mbili, elfu 90 au laki Moja na nusu hilo kwa watz tuliowengi asilimia zaid ya 98 hawawezi. nyinyi asilimia 2 mliobaki ndio mnaweza maisha hayo.

Hongera mkuu.
 
Vacations nyingi za Watanzania;-
1-Mwezi Disemba hurudi kijijini kulima jembe la mkono kwa bidii.
2-Likizo ya "Pasaka" wanaenda kuangalia maendeleo ya mazao waliyoyaacha shambani na shamba boy kama mlinzi.
3-Likizo mwezi wa sita ie May-July,kuvuna na kuhifadhi mazao.
4-Likizo fupi Agosti-Septemba kwenda kuandaa upya mashamba.
Hiyo ndiyo ratiba ya vacation za familia nyingi za Tanzania.Mbali na hapo ni aidha wana uchumi mkubwa au mfanyabiashara.
 
Asante mkuu, wewe unatufahamu watanzania namna tulivyo.
 
Hakuna mahala nimepokataza usiende Vocation, Wala mtu yeyoye asiende vocation lkn inafahamika vocation za watz walio wengi wanaenda vijijin kwao.

Sasa mtu kwenda vocation eti kwa lengo la kum spoil boyfriend/girlfriend alale hotel za laki mbili, elfu 90 au laki Moja na nusu hilo kwa watz tuliowengi asilimia zaid ya 98 hawawezi. nyinyi asilimia 2 mliobaki ndio mnaweza maisha hayo.

Hongera mkuu.
Refer your comments Mkuu umepinga, mimi siwezi kupinga maamuzi yako na ushauri wako kwa mtoa mada.

Ungetoa ushauri wako unaoona unafaa kwa mtoa mada na sio kuja kunipinga!

Nadhani kaongelea Mke ajaongelea girlfriend katika hizo asilimia 2 inawezekana akawepo sababu hujui mfuko wake.

Pia kwenda Vacation sio utajiri ni mipango tu.
 
Back
Top Bottom