Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaelezea mkuuMambo ya ukabila ni ufala....na ndo chanzo cha kurogana
Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
Kutaja kabila yako bhna Ni Sawa na mtu akuulize hivi we raia wa wapi? Wakt wote anaona Nywele Ngumu.Aibu???[emoji849]
Kimsingi sioni umuhimu wowote wa kujinasibu kwa kabila, jinasibu kwa uwezo na umakini wa kazi na sio kwa kabila
Ushakutana na mtu wa kabila la wafipa mtaani.japo wapoMnaofanya Kazi katika ofisi za Uma na za private lazma mtakubaliana na mim kuwa Kuna watu huwa hawataki wajulikane kuwa yeye Ni kabila gan,mfano watu wa Kanda ya ziwa waliobahatika kusoma na kuajiliwa kwenye ofis za Uma huwa hawapendi wajulikane walikotoka.
Wanawake wa Kisukuma ndo wanaongoza kwa Tabia hii.
Kwa Sasa npo kweny ofis moja ya Uma Kuna jamaa Ni kabila fulan ila hataki ajulikane kuwa yeye Ni kabila Hilo,Kuna ciku alikuwa anaongea na cm kisir kwa kilugha ndo nkajua kuwa kumbe jamaa Ni wa kabila Fulani ila hatak kuongea kilugha na watu wa kabila Hilo hata mkiwa nje ya ofisi.
Swali Ni je yeye anadumisha uzalendo wa kuondoa ukabila au anasaliti kabila lake?
kabila na kuzaliwa mkoa fulan havifananWengi wanaoficha huwa wanaogopa aibu,Kwan hata ukisema tu mi nmezaliwa sehem fulan Kuna shda gan?
kwan upo nje ya nchi mpk ujinadi ukabilaKumbuka kuwa mkataa kwao Ni mtumwa
Hujaelewa hoja ya mleta mada, yeye anasema wale wanaojificha hawataki kujulikana kabila lao, simu inapigwa anaongelewa kikwao hataki kuongea ila kwa vile simu ile nimuhimu analazimika kujificha hadi chooni je hiyo ni sawa??Nadhani mwenye tatizo ni wewe ambae utanataka kujua kabila za watu..., unless ofisi yenu inadeal na matambiko......
Anyway hakuna msukuma pure au kabila fulani pure kwa sasa wote tushakuwa ma-half-caste anyway kwangu mimi ilimradi huyu ni binadamu inatosha (character yake ndio itadetermine kama nitampa muda wangu au hapana)
Kwahiyo wenye wazazi ambao hawajui kiswahili wakipigiwa simu ni sawa kwenda kuipokelea chooni?? Ili wenzake wasijue yeye ni kabila gani??Karne Ya 21 Mnaongelea Makabila?
Kazi Ya Kabila Ni Nini? Labda Kutambika Tu
Umensaidia Sana kuielezea mada kwa wanaojifanya hawaelewiHujaelewa hoja ya mleta mada, yeye anasema wale wanaojificha hawataki kujulikana kabila lao, simu inapigwa anaongelewa kikwao hataki kuongea ila kwa vile simu ile nimuhimu analazimika kujificha hadi chooni je hiyo ni sawa??