Hali ya kutokupenda ujulikane wewe ni kabila gani maofisini ni uzalendo au ni usaliti?

Hali ya kutokupenda ujulikane wewe ni kabila gani maofisini ni uzalendo au ni usaliti?

Kwanza ni uthenge!! Pia kutokujiamini kujua kabila la mtu ili ikusaidie ...nilikuja gundua watu wanafuatilii huu ujinga siku moja Kuna mdada ameniita eti tunaongea ananiuliza unatokea Zanzibar sehemu gani?😥😥😥binafsi sijawai kukaa hata mwezi Zanzibar na nimeenda hata mara tatu hazifiki nilienda nimekaa siku 4 nimegeuka sasa nikaona anaweza kuwa ananichoka ili apate ukweli.

Siku nyingine Kuna mchaga mmoja anameniita we mdigo mchapakazi katika group la ofisi Tena jamaa ni mtu mkubwa kabisa nilimaindi mi hata kidogo sikijui ila ukweli hawatokuja kujua kabila hata siku moja.
Magufuli ndio alikuwa anaongoza kuuliza makabila ya watu, afadhali alikufa
 
Hii nchi haina ukabila ndio maana watu hawaoni haja yakuongea kikabila, hasa huku mijini.
So yupo sahihi.
Chamsingi unatakiwa uje umuulize kabila lake ndio utajua kama anaogopa kujulikana kabila lake au haoni umuhimu wakuongea kilugha chake mbele ya kadamnasi.
 
Mi huwa nawajibu mi ni mjaluo wanasema hamna mjaluo muarabu basi tunaishia kucheka.Mambo ya kuulizana makabila ni aina ya ushamba na Uchawi tu.
 
Mnaofanya Kazi katika ofisi za Uma na za private lazma mtakubaliana na mim kuwa Kuna watu huwa hawataki wajulikane kuwa yeye Ni kabila gan,mfano watu wa Kanda ya ziwa waliobahatika kusoma na kuajiliwa kwenye ofis za Uma huwa hawapendi wajulikane walikotoka.

Wanawake wa Kisukuma ndo wanaongoza kwa Tabia hii.

Kwa Sasa npo kweny ofis moja ya Uma Kuna jamaa Ni kabila fulan ila hataki ajulikane kuwa yeye Ni kabila Hilo,Kuna ciku alikuwa anaongea na cm kisir kwa kilugha ndo nkajua kuwa kumbe jamaa Ni wa kabila Fulani ila hatak kuongea kilugha na watu wa kabila Hilo hata mkiwa nje ya ofisi.

Swali Ni je yeye anadumisha uzalendo wa kuondoa ukabila au anasaliti kabila lake?
Haya
mimi kabila langu ni Mgagagigikoko, nawe sema la kwako.
 
Mtoa mada na mwigulu nchemba nadhani wote mna traits zinaendana
 
We ndo mshamba,sisi wote ni watanzania,kabila kabila my foot? Fanya kazi acha Majungu,ukijua kabila lake ndo utamfanyeje sasa?,kabila has nothing to do with your job or his/her's.,
 
Hii nchi haina ukabila ndio maana watu hawaoni haja yakuongea kikabila, hasa huku mijini.
So yupo sahihi.
Chamsingi unatakiwa uje umuulize kabila lake ndio utajua kama anaogopa kujulikana kabila lake au haoni umuhimu wakuongea kilugha chake mbele ya kadamnasi.
Kinachojadiliwa hapa ni pale unapoonekana ni aibu kubwa kujulikana kabila lako, hadi ukashindwa kuwa na amani ofisini kwako kisa eti kaja mtu wa kwenu kakuoongelesha kikwenu, unaongea huku ukiangalia chini utafikiri kakuletea ugoro kutoka shamba sasa unashindwa namna ya kuupokea ukihisi utachekwa na wenzako.
 
2022 bado watu wanaongelea makabila 😂😂😂😂😭
 
90% Hawajiamini.

Mbona kuna watu ndani ya siku mbili utajua tuu ni kabila gani na hawaoni shida kujulikana... kimsingi hapo makabila yanayodharaulika au yenye sifa Fulani mbaya ndio maana wengi hukosa kujiamini
Makabila karibu yote TZ yanafanana katika mambo mengi tu...Umasikini,Ujinga n the like
 
Huyo ni mhaya kama sijakosea.
Ni bora kutojua kabila la mtu...maana mtu akishajua kabila lako ndo anaanza kukudefine...
Hata ukifanya kosa dogo utaadhibiwa kulinganishwa na tabia za kabila lako...
Tens zile mbaya zitapewa kipaumbele hasa ukitokea kwenye makabila makubwa yenye mafanikio makubwa mfano wachaga, wahaya, wanyakyusa NK..
Vikabila tofauti na hayo hujifeel inferior mbele ya hizo jamii...so akikutana mtu kutoka jamii hizo tabia zote mbaya hupambikiwa mhusika...


So kuepusha hayo bora ummute Tu kabila lako




Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mara nyingi wanaoulizia makabila thinking capacity yao ni ndogo
 
Back
Top Bottom