Hali ya kutokupenda ujulikane wewe ni kabila gani maofisini ni uzalendo au ni usaliti?

Kwani kuna uhusiano wa kabila na mtu anapozaliwa??

Watoto wetu wanazaliwa Amana na Muhimbili haya tuambie kabila gani hao?
Ushaur wako Ni nin ?
 
Ushakutana na mtu wa kabila la wafipa mtaani.japo wapo
 
Hujaelewa hoja ya mleta mada, yeye anasema wale wanaojificha hawataki kujulikana kabila lao, simu inapigwa anaongelewa kikwao hataki kuongea ila kwa vile simu ile nimuhimu analazimika kujificha hadi chooni je hiyo ni sawa??
 
Karne Ya 21 Mnaongelea Makabila?
Kazi Ya Kabila Ni Nini? Labda Kutambika Tu
Kwahiyo wenye wazazi ambao hawajui kiswahili wakipigiwa simu ni sawa kwenda kuipokelea chooni?? Ili wenzake wasijue yeye ni kabila gani??
 
Kuficha kabila au utaifa wako ni utoto uliambatana na ujinga.
 
Changamoto za hya makabila yetu yanasifa fulan +na - ambazo wengine tulizikita nakuzisikia Sasa ndio kipimo Cha Maisha yetu wengine unaulizwa tu hivi we Ni kabila gani? Ukijibu tyari ushapewa nafasi yko Kama kabila lako

Kwahiyo me Naona Tuunde kabila Jipya[emoji41]
 
Hujaelewa hoja ya mleta mada, yeye anasema wale wanaojificha hawataki kujulikana kabila lao, simu inapigwa anaongelewa kikwao hataki kuongea ila kwa vile simu ile nimuhimu analazimika kujificha hadi chooni je hiyo ni sawa??
Umensaidia Sana kuielezea mada kwa wanaojifanya hawaelewi
 
Kuficha kabila au utaifa wako ni utoto uliambatana na ujinga.
Tena wengi wao wanaoficha kabila zao huwa wanasaliti had wazazi wao kisa mzaz hajui Kiswahili,kwa hyo anaweza akamkana mbele ya rafk kisa mzaz hajui Kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…