MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Sometimes ni mtu kutohitaji kujiweka wazi sana kwa kila mtu au kwa watu.Changia mada
Yaani Kabila Halina UmuhimuJikite Zaid kwenye mada
SawaKwahiyo wenye wazazi ambao hawajui kiswahili wakipigiwa simu ni sawa kwenda kuipokelea chooni?? Ili wenzake wasijue yeye ni kabila gani??
Magufuli ndio alikuwa anaongoza kuuliza makabila ya watu, afadhali alikufaKwanza ni uthenge!! Pia kutokujiamini kujua kabila la mtu ili ikusaidie ...nilikuja gundua watu wanafuatilii huu ujinga siku moja Kuna mdada ameniita eti tunaongea ananiuliza unatokea Zanzibar sehemu gani?π₯π₯π₯binafsi sijawai kukaa hata mwezi Zanzibar na nimeenda hata mara tatu hazifiki nilienda nimekaa siku 4 nimegeuka sasa nikaona anaweza kuwa ananichoka ili apate ukweli.
Siku nyingine Kuna mchaga mmoja anameniita we mdigo mchapakazi katika group la ofisi Tena jamaa ni mtu mkubwa kabisa nilimaindi mi hata kidogo sikijui ila ukweli hawatokuja kujua kabila hata siku moja.
Ulitaka kila mtu ili iweje kwani we mkimbizi?Kuficha kabila au utaifa wako ni utoto uliambatana na ujinga.
Huyo ni mhaya kama sijakosea.
HayaMnaofanya Kazi katika ofisi za Uma na za private lazma mtakubaliana na mim kuwa Kuna watu huwa hawataki wajulikane kuwa yeye Ni kabila gan,mfano watu wa Kanda ya ziwa waliobahatika kusoma na kuajiliwa kwenye ofis za Uma huwa hawapendi wajulikane walikotoka.
Wanawake wa Kisukuma ndo wanaongoza kwa Tabia hii.
Kwa Sasa npo kweny ofis moja ya Uma Kuna jamaa Ni kabila fulan ila hataki ajulikane kuwa yeye Ni kabila Hilo,Kuna ciku alikuwa anaongea na cm kisir kwa kilugha ndo nkajua kuwa kumbe jamaa Ni wa kabila Fulani ila hatak kuongea kilugha na watu wa kabila Hilo hata mkiwa nje ya ofisi.
Swali Ni je yeye anadumisha uzalendo wa kuondoa ukabila au anasaliti kabila lake?
Soma ulichokiandikaUlitaka kila mtu ili iweje kwani we mkimbizi?
Kinachojadiliwa hapa ni pale unapoonekana ni aibu kubwa kujulikana kabila lako, hadi ukashindwa kuwa na amani ofisini kwako kisa eti kaja mtu wa kwenu kakuoongelesha kikwenu, unaongea huku ukiangalia chini utafikiri kakuletea ugoro kutoka shamba sasa unashindwa namna ya kuupokea ukihisi utachekwa na wenzako.Hii nchi haina ukabila ndio maana watu hawaoni haja yakuongea kikabila, hasa huku mijini.
So yupo sahihi.
Chamsingi unatakiwa uje umuulize kabila lake ndio utajua kama anaogopa kujulikana kabila lake au haoni umuhimu wakuongea kilugha chake mbele ya kadamnasi.
Makabila karibu yote TZ yanafanana katika mambo mengi tu...Umasikini,Ujinga n the like90% Hawajiamini.
Mbona kuna watu ndani ya siku mbili utajua tuu ni kabila gani na hawaoni shida kujulikana... kimsingi hapo makabila yanayodharaulika au yenye sifa Fulani mbaya ndio maana wengi hukosa kujiamini
Ni bora kutojua kabila la mtu...maana mtu akishajua kabila lako ndo anaanza kukudefine...Huyo ni mhaya kama sijakosea.