Hali ya Maambukizi ya HIV kwenye vyuo vikuu si nzuri na elimu ya kujikinga haitolewi vya kutosha kama miaka ya nyuma 2010 kurudi nyuma

T
Tatizo hivi vitoto vya UDOM havipendi kabisa kondom eti vinasingizia yale mafuta yanawafanya kuugua fungus
Sasa mie huwa navitwanga hivyo hivyo
Tena hata jumapili iliyopita niliingia mpaka hostel kwenye chumba cha kitoto flani hivi (chumba Chao wanalalaga wanne) sasa siku hiyo wawili hawakuwepo room kalikuwepo haka kamiss na rafiki yake mmoja hivi sasa tukiwa pale kitandani baada ya kuzima taa nikaanza kumshughulikia miss kumbe ile miguno inamtesa mwenzie anajigeuza geuza kitandani nilipomalizana na miss nikahamia kitandani kwa rafiki yake nikamgusa wa moto balaa anahema juu juu nikaona nimsaidie kushusha maruhani yake asije kufa bure mtoto wa watu!
Nililala humo nikawashughulikia kwa zamu mpaka wote wakatosheka wakalala niliondoka alfajiri nikiwa hoi
Leo tena miss ananitext kwamba turudie kale kamchezo ila iwe lodge aje na yule mwenzie maana wenzao washarudi.
 
Siku ukiwa ndani ya jeneza ndio tutakuambia source of data..endelea kuchakata mbususu.
Acheni kujitungia data zenu na kutaka kulazimisha kukubalia bila Evedence..
Idadi ya wanafunzi Udsm ni 44,000 alafu eti wenye HIV ni 16,000 maan ake katika wanafunzi wawili au watatu mmoja wapo anayo HIV.
Bado Hata kama kweli ni tishio ila halijafikia hicho kiwango.

Sio HIV tuu magonjwa mengi watu hawana elimu nayo hasa ambayo hayaambukizi ndo maana hospitali zenu zinazidiwa ma wagonjwa na huduma ni duni
 
Hizi takwimu ni uongo

Ila kweli hali si nzuri
 
Udsm inawanafunzi karibu 44,650

So 35% wameathirika? Yaani nusu?

Mzumbe wanafunzi 4000 inamaana 70% wameathirika?


Au wewe mgeni wa mitandao? Umeshindwa hata ku google data?
 
Hizo sio issues hoja ya msingi ni kwamba HIV ipo juu miongoni mwa
wanafunzi vya vyuo vikuu hasa wanawake umri 15 hadi 24 miaka.
 
Udsm inawanafunzi karibu 44,650

So 35% wameathirika? Yaani nusu?

Mzumbe wanafunzi 4000 inamaana 70% wameathirika?


Au wewe mgeni wa mitandao? Umeshindwa hata ku google data?
Hoja ya msingi ni wewe kuchukua tahadhari consider as everyone infectious

hayo ya data sio muhimu sana kwa sababu huwezi kumtambua kwa macho.
 
Mmh🥺
 
Hii ni hatari...
 
Tunamshukuru Dr Saa100 !🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…