Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
Kuna Muda unapima unakuta huna kumbe unao ndoo maana wanarudia baada ya miezi kadhaaaa😎👍hatariSema kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Muda unapima unakuta huna kumbe unao ndoo maana wanarudia baada ya miezi kadhaaaa😎👍hatariSema kweli?
Ila vijana wengi hawapimi kwa hiyari.Kuna Muda unapima unakuta huna kumbe unao ndoo maana wanarudia baada ya miezi kadhaaaa😎👍hatari
Hatari kabisaaaa.Kuna Muda unapima unakuta huna kumbe unao ndoo maana wanarudia baada ya miezi kadhaaaa[emoji41][emoji106]hatari
Tunaogopa kupimaIla vijana wengi hawapimi kwa hiyari.
Takwimu zako umezitoa wapi?Kama una mdogo wako wa kike awe makini aache tamaa ya mambo ambayo hana uwezo nayo, kwa sababu mabinti wengi wanaingia kwenye vishawishi vya kutembea na wanaume walio wazidi umri (Sugar dads) ili kupata fedha.
Pia mdogo wako wa kiume wa chuo mwambie afunge zipu asome kwani wengi wa wanachuo wenzao wakike wanakuwa nao lakini pia wanatembea na hiyo mibaba inayowarubuni kisa fedha zao.
Wazazi ni wajibu wa kuwa karibu na mwanao ili ujue anaendeleaje na jitahidi uzungumze nae mare kwa mara.
Serikali nayo inachangia kwa namna nyingine kwa kuto kutoa mikopo kwa wanafunzi wote na pia kuchelewesha kutoa mikopo hiyo kwa wakati.
Mwanafunzi wa chyo kikuu anayo simu ya bei kali eti hapewi elimu ya kutosha kuhusu ukimwi! Bora afe tu.Kama una mdogo wako wa kike awe makini aache tamaa ya mambo ambayo hana uwezo nayo, kwa sababu mabinti wengi wanaingia kwenye vishawishi vya kutembea na wanaume walio wazidi umri (Sugar dads) ili kupata fedha.
Pia mdogo wako wa kiume wa chuo mwambie afunge zipu asome kwani wengi wa wanachuo wenzao wakike wanakuwa nao lakini pia wanatembea na hiyo mibaba inayowarubuni kisa fedha zao.
Wazazi ni wajibu wa kuwa karibu na mwanao ili ujue anaendeleaje na jitahidi uzungumze nae mare kwa mara.
Serikali nayo inachangia kwa namna nyingine kwa kuto kutoa mikopo kwa wanafunzi wote na pia kuchelewesha kutoa mikopo hiyo kwa wakati.
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 hiyo hosp bado ipo?Nenda marie stopes mwenge wanazo data za watoto wa USTAWI
"Zab" au "zabah" neno la Wayahudi,maana mtu ananuka gono.Ajse kweli kabisa sie wenye ngoma tuna hezea sana mbususu za wanachuo...maana vinape da starehe hivyo basi unajigegedea tuu threesome kwa kwenda mbele.
Wenhe watoto wakike nawaonea huruma sana