Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
Njia rahisi ni kufunga miguu...let's abstain..Ndio ila wengi wameambukizwa na hiyo Mibaba, Mbaba mmoja Kibosile
anaweza kuambukiza mabinti hata 50 kwa kuwapa elfu 20 au chipsi
kuku na mirinda.
Alafu vijana wa kiume wengi wao wanaupata sasa kwa hao madem
wao wanaotbea ni vibosile hao.
Japo kuna vijana wachache nao wanatembea na mishangazi ila kwa
umri wa wanachuo sio vijana wengi wa kiume wanafanya hivyo.