Hali ya Maambukizi ya HIV kwenye vyuo vikuu si nzuri na elimu ya kujikinga haitolewi vya kutosha kama miaka ya nyuma 2010 kurudi nyuma

Hali ya Maambukizi ya HIV kwenye vyuo vikuu si nzuri na elimu ya kujikinga haitolewi vya kutosha kama miaka ya nyuma 2010 kurudi nyuma

T

Tatizo hivi vitoto vya UDOM havipendi kabisa kondom eti vinasingizia yale mafuta yanawafanya kuugua fungus
Sasa mie huwa navitwanga hivyo hivyo
Tena hata jumapili iliyopita niliingia mpaka hostel kwenye chumba cha kitoto flani hivi (chumba Chao wanalalaga wanne) sasa siku hiyo wawili hawakuwepo room kalikuwepo haka kamiss na rafiki yake mmoja hivi sasa tukiwa pale kitandani baada ya kuzima taa nikaanza kumshughulikia miss kumbe ile miguno inamtesa mwenzie anajigeuza geuza kitandani nilipomalizana na miss nikahamia kitandani kwa rafiki yake nikamgusa wa moto balaa anahema juu juu nikaona nimsaidie kushusha maruhani yake asije kufa bure mtoto wa watu!
Nililala humo nikawashughulikia kwa zamu mpaka wote wakatosheka wakalala niliondoka alfajiri nikiwa hoi
Leo tena miss ananitext kwamba turudie kale kamchezo ila iwe lodge aje na yule mwenzie maana wenzao washarudi.
Una ujasiri wa hali juu sana!
 
Mbona hii ilishakanushwa. Takwimu za HIV zinaonyeshwa kwa rika, makundi ambayo yako hatarini , na kimkoa. Kwani ukienda kupima unaulizwa unasoma chuo gani? Taarifa potofu hiyo.
Wewe jua kundi la miaka 15 hadi 24 ndio wameambukizwa sana hasa wanawake

na wengi wao ndio wanafunzi wa chuo wanaopenda maisha mazuri.
 
Chuo kikuu wanaitaji elimu ya kujikinga na Ukimwi.
Fungeni chuo na fukuza wanafunzi wote,ikiwa mtu yupo chuo halafu hana elimu ya kujikinga na Ukimwi hata akihitimu elimu ya chuo hawezi kuwa msaada kwa familia na Taifa kwa ujumla.
 
Chuo kikuu wanaitaji elimu ya kujikinga na Ukimwi.
Fungeni chuo na fukuza wanafunzi wote,ikiwa mtu yupo chuo halafu hana elimu ya kujikinga na Ukimwi hata akihitimu elimu ya chuo hawezi kuwa msaada kwa familia na Taifa kwa ujumla.
Wengi wa hawa Gen Z sio smart kama vijana wa zamani wao

wanataka vitu vya haraka haraka, elimu pia kuhusu kujikinga na HIV
wengine hawana ya kutosha.
 
Hizo data zinazua taharuki kwenye ma group ya whatsapp
Wachukue tahadhari ukweli ni kwa maambukizi yapo kwa kiwango

gani hiyo haina tija sana kwa sababu bado inakuwa ni siri waathirika
hawawekwi hadharani.
 
Kundi hilo halimaanishi kwamba wengi ni.wanachuo. ukiangalia idadi ya walioko chuo ni wachache sana kuliko walioko mtaani.
Ni wachache ila wengi wao wanatamaa hivyo ni wengi pia wanapata maambukizi.

Hivi unajua hata watumishi wa umma kama waalimu, manurse wanawake weambukizwa
wengi kuliko watu wa kawaida kama wakulima.
 
Back
Top Bottom