Hali ya Maambukizi ya HIV kwenye vyuo vikuu si nzuri na elimu ya kujikinga haitolewi vya kutosha kama miaka ya nyuma 2010 kurudi nyuma

Njia rahisi ni kufunga miguu...let's abstain..
 
Njoo umchukue mwenzio mzabzab
 
Safi mwanawane....watoto wa chuo ni mwendo wa kuwapiga 3some tuu.
 
Serikali hata itoe meal na accomodation elfu 20000 kwa siku,bado Malaya watajiuza tu.......Tanzania Malaya ni wengi sana kuliko nchi yeyote east Africa sababu ya phenomenon inaitwa,Transactional sexual intercourse/workers.......humu manesi,walimu,wake za watu,corporates ladies wanatombeka,kwa ahadi mbali mbali kama kulipiwa vikoba,kununuliwa simu,kujengewa nyumba,kununuliwa gari etc,.......Tanzania umalaya ni kama culture
 
Ujumbe ni mzuri ila ni taarifa ambayo ina walakini. Ulivyoeleza ni kama ngoma inapatikana kwa kutembea na watu wazima wakati takwimu zinaonesha kuwa, vijana ndio wanaongoza kwa kuwa na ngoma.
Taarifa haina walakini,ipo sahihi wanaume kuanzia miaka 30 ndio wanaongoza kundi la HIV,sababu wengi hapa wanakua financial stable
Wakati wanawake miaka 15-24 hapa wengi ndio huongoza kwa maambukizi sababu ya tamaa na ulimbukeni/ushamba...............hauna taarifa sahihi chukua hii
 
Mkuu upo vizuri sana nadhani ni mfuatiaji wa mambo, na pia nyongeza ni kwamba huyo mwanaume
mmoja anaweza kutembea na mabinti 20 tofauti kwa ndani ya mwaka mmoja.
 
Mkuu upo vizuri sana nadhani ni mfuatiaji wa mambo, na pia nyongeza ni kwamba huyo mwanaume
mmoja anaweza kutembea na mabinti 20 tofauti kwa ndani ya mwaka mmoja.
Kwa wale vijana biashara ndio zimechanganya,Amepata kazi,TRA,yupo pale wizarani ana SUV,.....akienda kitambaa cheupe Kwa wiki mara mbili anaondoka na mwanachuo mpya,.....akienda pale bambamalaga wanachuo kibao wanajiuza.......mabinti 20 hio ni hesabu ya miezi 2-3
 
Kweli kabisa na hapo wamekunywa wamelewa kifanyio kitakumbukwa
kweli na hata kama kitakumbuka kitatumika kwa usahihi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…