Hali ya maambukizi ya UKIMWI inatisha😭

Tamaa ya utelezi na msererereko vinatupeleka kaburini tukiwa na kilo2 ,hadi kaburini chap kwa haraka.

Jihadhari, kuwa muaminifu, tumia condom.
Mbona unaleta mada kimashambulizi badala ya kiuelimishaji
 
Samahani mkuu, sote tunajua yakuwa UKIMWI upo na UNAUA.

Ni kipi kime kusukuma mpaka ukaandika haya, either imekukuta, umeona au umeshuhudia. Tupe ushuhuda nasi TUJIFUNZE.
 
Wathirika wakuu ni vijana kwa wazee, wanaoedekeza starehe, pombe na ngono zembe.[emoji3064][emoji848][emoji2827]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trending ya ukimwi ipo chini sana, moyo, kisukari na kansa vinaripotiwa sana ila maambukizi ya ukimwi yameachwa kuripotiwa, huenda yako juu kiasi cha kutisha ndio maana hawaripoti kuna ongezeko au yamepungua
 
Vijana wa sasa hivi utawaeleza nini wakuelewe kuhusu ukimwi? Hawaujui, wazee nao wamesahau madhila ya ukimwi wanaona fresh tu, dawa za kufubaza virusi zipo, hawajali na mipira hawatumii. Ni wachache wenye hofu ya kuambukizwa ukimwi, ni wale walioona wagonjwa wakibaki mifupa mitupu mpaka wanakufa wakiwa na kilo mbili, inatisha. Kama kuna mzee aliyefikisha miaka arobaini hadi sasa na hana maambukizi ya ukimwi ashukuru Mungu na achukue tahadhari zaidi kujilinda na maambukizi ya ukimwi
 
Wewe huna?
 
Hakutaka kula vidonge ndo shida, watu wana miaka 30 na wanadunda hadi kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…