Hali ya maambukizi ya UKIMWI inatisha😭

Hali ya maambukizi ya UKIMWI inatisha😭

Tamaa ya utelezi na msererereko vinatupeleka kaburini tukiwa na kilo2 ,hadi kaburini chap kwa haraka.

Jihadhari, kuwa muaminifu, tumia condom.
Mbona unaleta mada kimashambulizi badala ya kiuelimishaji
 
Hali ya maambukizi ya ukimwi inatisha, ni ya kasi ya 4G.

Wathirika wakuu ni vijana kwa wazee, wanaoedekeza starehe, pombe na ngono zembe.

Wazee wanapenda dogodogo na pisi kali, huku vijana wakipendelea zaidi sponsorz , sugar Mamie's, daddies and single mothers.

Tamaa ya utelezi na msererereko vinatupeleka kaburini tukiwa na kilo2 ,hadi kaburini chap kwa haraka.

Jihadhari, kuwa muaminifu, tumia condom.

Ukimwi upo Unaua mbaya sana.
Samahani mkuu, sote tunajua yakuwa UKIMWI upo na UNAUA.

Ni kipi kime kusukuma mpaka ukaandika haya, either imekukuta, umeona au umeshuhudia. Tupe ushuhuda nasi TUJIFUNZE.
 
Hali ya maambukizi ya ukimwi inatisha, ni ya kasi ya 4G.

Wathirika wakuu ni vijana kwa wazee, wanaoedekeza starehe, pombe na ngono zembe.

Wazee wanapenda dogodogo na pisi kali, huku vijana wakipendelea zaidi sponsorz , sugar Mamie's, daddies and single mothers.

Tamaa ya utelezi na msererereko vinatupeleka kaburini tukiwa na kilo2 ,hadi kaburini chap kwa haraka.

Jihadhari, kuwa muaminifu, tumia condom.

Ukimwi upo Unaua mbaya sana.
Wathirika wakuu ni vijana kwa wazee, wanaoedekeza starehe, pombe na ngono zembe.[emoji3064][emoji848][emoji2827]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana wa sasa hivi utawaeleza nini wakuelewe kuhusu ukimwi? Hawaujui, wazee nao wamesahau madhila ya ukimwi wanaona fresh tu, dawa za kufubaza virusi zipo, hawajali na mipira hawatumii. Ni wachache wenye hofu ya kuambukizwa ukimwi, ni wale walioona wagonjwa wakibaki mifupa mitupu mpaka wanakufa wakiwa na kilo mbili, inatisha. Kama kuna mzee aliyefikisha miaka arobaini hadi sasa na hana maambukizi ya ukimwi ashukuru Mungu na achukue tahadhari zaidi kujilinda na maambukizi ya ukimwi
 
Hali ya maambukizi ya ukimwi inatisha, ni ya kasi ya 4G.

Wathirika wakuu ni vijana kwa wazee, wanaoedekeza starehe, pombe na ngono zembe.

Wazee wanapenda dogodogo na pisi kali, huku vijana wakipendelea zaidi sponsorz , sugar Mamie's, daddies and single mothers.

Tamaa ya utelezi na msererereko vinatupeleka kaburini tukiwa na kilo2 ,hadi kaburini chap kwa haraka.

Jihadhari, kuwa muaminifu, tumia condom.

Ukimwi upo Unaua mbaya sana.
Wewe huna?
 
😭 inauma sana na inatafakarisha sana, natoka mazikoni muda huu, jirani yangu alikua bonge kweli kweli tumempumzisha na kilo2! kweli?
😭Hili Jambo ni la kufumbia macho kweli au kunyamaza? 😭😭

Na jamaa alikua jasiri kama wewe alikua anasema kwamba hii kitu si ya kuogopa tuishi nayo kama ndugu 😭
Hakutaka kula vidonge ndo shida, watu wana miaka 30 na wanadunda hadi kesho
 
Back
Top Bottom