Hali ya madungu jeshi barabarani kwa sasa ikoje? Quick review kidogo

byakunu

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
583
Reaction score
1,318
Wadau nimekaa kwenye foleni barabarani nikitafakari ni vipi ile kasi ya ununuaji wa madungu jeshi (DISCOVERY3,4) ilivyokuwa mwaka jana kipindi kama hiki na mwaka huu ikoje?

Mimi naona haya madungu watu wengi yamewashinda hayana tena attraction ile kama ya mwaka jana na kabla yake.

Ishu itakua ni ubovu wa engine? Reliability ya gari? au gari tumesha izoea tunaiona ya kawaida, au ni kitu gani kimeondoka na upepo wa haya madungu? Maana hata ukiwa nalo na ukataka kuliuza unaliuza bei ya hasara sana inakuaje?

 
Hizo ni takataka za Mzungu. Huku TZ mtu anachukua mikopo vikoba akanunue Discovery/Range disgusting!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…