Hali ya mahindi Mbeya

Hali ya mahindi Mbeya

Mkuu sumbawanga mashamba por ya kulima mpunga na mahindi ni bei gan
Shamba la Kulima mahindi kukodi Ekari 1 ni Tshs.40,000/= elfu 40. Kuhusu Kilimo cha Mpunga kwa sasa UMAFIA umeanza kuingia kwa kasi sana baada ya WACOMORO na WANYARWANDA kuvamia mashambani. Wacomoro wanakupa pesa tangu maandalizi mwishowe uwauzie Mpunga.
Mashamba yanamilikiwa na tycoon wenyeji kibabe tuu ukivuna mnagawana magunia ya Mpunga.
Wale waliowahi Mapema kununua hizi Mbuga za Mpunga kwa sasa anaweza tokea mtu mmoja akaanzisha kesi kwamba hilo shamba ni lake. Kwa kifupi umafia umekuwa mwingi sana. Unaweza kulima Mpunga mavuno akaja kuvuna mtu mwingine tena akiwa na SMG zimesimamia zoezi. Kwa kifupi Kilimo cha Mpanda na Sumbawanga bado hakina formula ingawa mavuno yapo mengi
 
SAWA kaka
 
Mchele umekubali maana huku pwani bila mchele Maisha magumu Ugali hatuli so nimesikia kuwa mpunga umestawi vizuri Sana.
 
Mliweka mchanga wa makinikia mkizani ni mbolea
 
Sijui mbeya gani, mbona Inyala hapa tumepata sana mkuu, [emoji848]
Hata hapa mahango tutapata vizuri, ila mbolea za mwaka huu hazikuwa sawa aisee utendaji wake uko tofauti... Njoo kwenye mpunga usangu
 
Mchele umekubali maana huku pwani bila mchele Maisha magumu Ugali hatuli so nimesikia kuwa mpunga umestawi vizuri Sana.
Mavuno ya Mpunga hayatakuwa mazuri sana, kwa sababu vipindi vya jua vilikuwa virefu sana kushinda mvua. Hasa ikizingatiwa kuwa Mpunga unategemea sana maji kwenye ukuaji wake.
 
Back
Top Bottom