Hali ya mahindi Mbeya

Hali ya mahindi Mbeya

H

Haaa !!! Kumbe jpm alikuwa anasimamia hadi ustawi wa mazao shambani??
Faamasihala nn! Yule mwamba alikuwa anasimamia Hadi vitanda vyetu vikaeje! Yaani Malaika wanamkoma huko
 
Faamasihala nn! Yule mwamba alikuwa anasimamia Hadi vitanda vyetu vikaeje! Yaani Malaika wanamkoma huko
Kama ww n Mwanaume aseee nenda uturuki kabadili jinsia...ww n hasara kwa aliyekuleta dunian....ila if u a woman ...keep it up
 
Mawazo yako yanakupeleka kuongea pumba, mtu mwenyewe alikuwa anasema anatamani akifa akaongoze Malaika, mm ni nani nipinge?
Kama ww n Mwanaume aseee nenda uturuki kabadili jinsia...ww n hasara kwa aliyekuleta dunian....ila if u a woman ...keep it up
 
Mabadiliko ya mbolea na mbegu ni hatari kwa kilimo
 
mazao mengi hayajafanya vizuri nazani mabadiliko ya mbolea limekuwa ni tatizo, kwa mfano mimi nimetumia, mijingu, chokaa, NPS na DAP kwa sababu , NPK, CAN na TSP zinaonekana sokoni kwa kuvizia , TSP ambayo kwangu ni bonge la mbolea haipo kabisa sokoni, so nalazimika kutumia mijingu as mbadala wa phosphorus
 
nilipita sumbawanga na Mpanda kwa kiasi chake yapo
 
Back
Top Bottom