Haaa !!! Kumbe jpm alikuwa anasimamia hadi ustawi wa mazao shambani??Mlishangilia kifo cha Dkt Magufuli tubuni
Faamasihala nn! Yule mwamba alikuwa anasimamia Hadi vitanda vyetu vikaeje! Yaani Malaika wanamkoma hukoH
Haaa !!! Kumbe jpm alikuwa anasimamia hadi ustawi wa mazao shambani??
Kama ww n Mwanaume aseee nenda uturuki kabadili jinsia...ww n hasara kwa aliyekuleta dunian....ila if u a woman ...keep it upFaamasihala nn! Yule mwamba alikuwa anasimamia Hadi vitanda vyetu vikaeje! Yaani Malaika wanamkoma huko
Kama ww n Mwanaume aseee nenda uturuki kabadili jinsia...ww n hasara kwa aliyekuleta dunian....ila if u a woman ...keep it up
Watu wamechanganyikiwa mkuu wasamehe bureH
Haaa !!! Kumbe jpm alikuwa anasimamia hadi ustawi wa mazao shambani??
Uko inyara!?Sawa mkuu
UyoleUko inyara!?
Bei gani gunia la mahindi hukoUyole
Sijui sh ngapi wangu,maana mie sijawahi nunua ila debe Moja mapya ni 22k na ya zamani 25kBei gani gunia la mahindi huko
upo inyalaSijui mbeya gani, mbona Inyala hapa tumepata sana mkuu, 🤔
ah nilijua inyala nina tuviwanja twangu kule hospital ya wilaya na sina mwenyeji nawaza kuanza ujenzi huko decemberUyole
kwahiyo jpm alikuwa mungu wa kilimoMlishangilia kifo cha Dkt Magufuli tubuni
Karibu sanaah nilijua inyala nina tuviwanja twangu kule hospital ya wilaya na sina mwenyeji nawaza kuanza ujenzi huko december