Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Ukisoma stori za wakati wa ujamaa kwenye nchi nyingine kama China unakutana na habari za kutisha sana. Shida kubwa ilikuwa njaa isiyoisha, kukamatwa na kuuawa na mateso mengi mengi.
Humu jukwaani wapo wengi wakiishi wakati wa Ujamaa wa Nyerere. Tusimulieni hali ilikuwaje Ili tusije poteza historia.
Hali ya chakula, elimu, mahitaji ya kila siku, vijiji vya ujamaa, usalama, haki na maisha ya kila siku ilikuwaje?